Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Nasisitiza, wafu hawasikii lolote (Mhubiri 9:5). Usiwahubirie ama kuwaombea wafu. Elekeza nguvu zako kwa walio hai. Walio hai wanasikia, wanaweza kutubu, kuyaishi maisha ya Kristo kabla ya kufa na kuurithi uzima wa milele siku Yesu akija mara ya pili. Usipoteze muda wako na wafu.
Mkristo yupo hai siku zote.
Ukianza kufikiri kuwa kifo kitakutenganisha na Yesu ujue wewe ni mfuasi wa ibilisi.
Kwa kuwa wakristo tupo hai siku zote,tunaendelea kuombeana.
 
Okay, nimekuhubiria vya kutosha. Subiri kuombewa baada ya kifo chako. Damu yako haiwezi kuwa juu yangu tena.
Huruma ya Mungu haina mipaka,

Kama binadamu alibatizwa na alimkiri Yesu na alimini katika kristo

Lakini yeye alikuwa binadamu, hakuwa mkamilifu na kuna makosa kwanamna moja au nyinge aliyatenda hivyo kazi sisi ni kumwombea ili aweze kuona uso wa Mungu

Hii ni sawa na mtu aseme "Mugabe ni jogoo" halafu wewe unajibu kuwa kama ni jogoo tutamchinja kwenye Krismas...🤣
Kama wewe unaamini hivyo basi sio mkristo

Yn 11:25-26 SUV

Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi; naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo?
 
Unafiki ulioje huu?

Ni lini watamuombea Ben Saanane

Au marehemu Mawazo

Au binti Akwilina?
Kanisa la kinafiki kabisa hili bila shaka
Hao vichwa panzi unawalinganisha na Magufuli kwa lipi? Kiutendaji au kwa kuwa binadamu wore tutakufa?
Ben Sanane
Anzory Gwanda
Akwilin
Mauaji ya MKIRU ( Hujawahi kufika wewe)
Kufungwa kwa kabendera, peter magondi na wenzake.
Kushambuliwa kwa tundu lisu
Na mambo yote mabaya yaliyotokea wakati Mfa kibudu akiwa madarakani.
Alitakiwa kuwa the Hague cyo peponi
Mshamba yule
Asante mungu kwa kila jambo
Hayo majina bado sio ushahidi maana hata sasa kuna watu kibao wameshakufa tokea aingie mama Samia! Vipi wale vijana wa kariakoo waliopotea? Na mauaji ya kila aina kona zote za nchi? Kwa hiyo anawaua mama Samia?
 
Hii sio ya kukosa safari ya Mwanza imeiva sasa.
 
Ben Sanane
Anzory Gwanda
Akwilin
Mauaji ya MKIRU ( Hujawahi kufika wewe)
Kufungwa kwa kabendera, peter magondi na wenzake.
Kushambuliwa kwa tundu lisu
Na mambo yote mabaya yaliyotokea wakati Mfa kibudu akiwa madarakani.
Alitakiwa kuwa the Hague cyo peponi
Mshamba yule
Asante mungu kwa kila jambo
Huu ndio uthibitisho!!?
 
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema katika adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea pumziko la milele mbinguni Hayati John Pombe Joseph Magufuli.

Misa hii takatifu itafanyika Jumapili ya Machi 20 katika viwanja vya madhabahu ya Bikira Maria Malkia wa Kawekamo kuanzia saa nne kamili asubuhi.

Aidha, Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande anatukumbusha kumuenzi Hayati Magufuli kwa kuwa Wazalendo wa kweli, kudumisha amani, undugu na maendeleo ya taifa kwa ujumla.

Hayati Magufuli apumzike kwa amani mbinguni.

View attachment 2147385
Pumbavu kabisa huyo magufulu alienzi undugu gani wakati aliligawa taifa labda undugu wa wasukuma
 
Wewe uniite uniitavyo Magufuli sio level yako wala level ya Lisu wala Makengeza! Level ya Magufuli inajipambanua yenyewe Kiutendaji wewe mbwekaji bweka tu!
Ona ulivyo pario. Vichwa panzi kwasababu hawakua presidents? Najuaga wewe ni mjinga ila sikujua ni kwa kiwango hiki. Jamiiforums na uma wake tumezidi kukudhara wewe sukuma gang
 
Wewe unaendeshwa na chuki za kikabila tu! Wasukuma huna la kuwafanya na wapo sana tu! Serkalini kila kona yenye uchumi mzuri wapo! Endelea kuoza meno na kukondeana miguu !
Pumbavu kabisa huyo magufulu alienzi undugu gani wakati aliligawa taifa labda undugu wa wasukuma
 
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema katika adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea pumziko la milele mbinguni Hayati John Pombe Joseph Magufuli.

Misa hii takatifu itafanyika Jumapili ya Machi 20 katika viwanja vya madhabahu ya Bikira Maria Malkia wa Kawekamo kuanzia saa nne kamili asubuhi.

Aidha, Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande anatukumbusha kumuenzi Hayati Magufuli kwa kuwa Wazalendo wa kweli, kudumisha amani, undugu na maendeleo ya taifa kwa ujumla.

Hayati Magufuli apumzike kwa amani mbinguni.

View attachment 2147385
Mapenzi mema ndio yepi
 
Unafiki ulioje huu?

Ni lini watamuombea Ben Saanane

Au marehemu Mawazo

Au binti Akwilina?
Kanisa la kinafiki kabisa hili bila shaka
Walikuwa wakatoliki?walikuwa na sakramenti mpaka waombewe na kanisa katoliki?
 
Sijawahi kumuelewa wala kumuona kama mnavyomuona nyinyi huyo jamaa anaitwa magufuri labda kwa sababu alikuwa boss wangu niliweza kuona mengi yaliyopo moyoni mwake na nyie mkaona ya kwenye kioo cha Tv zenu
Umeandika lugha tata mkuu, nimekuelewa sana lkn kama hutojali funguka kidogo
 
Simchukii jpm, wala simhukumu. Ila kuhusu kuombea, ni chukizo kwa mungu, baada ya kifo ni hukumu hakuna kutengeneza maisha. Hakuna mstari kwenye biblia unasema tuombee wafu.

Hata ukisema rip mtu kama hakuishi maisha matakatifu huwezi kumtakasa akiwa ameshakufa, yeye ndio anatakiwa kutubu kwa mungu angali hai asamehewe, ni kitu kati ya mungu na mtu, na sio watu waende kumuombea mtu kwa mungu, the only advocate we still have is jesus, naye anasimama kama daraja kati yetu sisi na mungu kwamba tukitenda dhambi tupitie kwake ili mungu atusamehe kwasababu yeye alimwaga damu kwa ajili ya hilo. Ila sisi wanadamu tukiombea mfu tunapoteza muda na ni chukizo kwa mungu.
Huwa ni mazoea tuu lkn hoja zako ni za msingi kabisa
 
Magufuli ni kiongozi bora sana wa wakati wetu. Ametufikisha uchumi wa kati ndani ya miaka mitano tu!
Mbona yasemekana pale tuliingizwa chaka? Hatukuwa uchumi wa kati kabisaaaa. Ila uzuri sote tulikubali. Haina shida
 
Back
Top Bottom