Sharbel
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,393
- 2,759
Mkristo yupo hai siku zote.Nasisitiza, wafu hawasikii lolote (Mhubiri 9:5). Usiwahubirie ama kuwaombea wafu. Elekeza nguvu zako kwa walio hai. Walio hai wanasikia, wanaweza kutubu, kuyaishi maisha ya Kristo kabla ya kufa na kuurithi uzima wa milele siku Yesu akija mara ya pili. Usipoteze muda wako na wafu.
Ukianza kufikiri kuwa kifo kitakutenganisha na Yesu ujue wewe ni mfuasi wa ibilisi.
Kwa kuwa wakristo tupo hai siku zote,tunaendelea kuombeana.