Jamaa na yeye anasema huwa anakufa na kufufuka. 😁Mwili ndio ubaki udongoni,nafsi na roho yako uenda paradiso au kuzimu tegemeana na matendo yako.
Hii kwa mujibu wa maandiko Quran tukufu na Biblia takatifu pia kwa Shuhuda za walioenda na kurudi.
Chato boss,!!Unateseka ukiwa wapi boss?
Na wewe umeenda mbinguni ukamkuta? Swine!!!!Umeenda kuzimu ukamkuta?
Wewe ni mtoto wa JPM? Maana unamuabudu mpaka unatia kinyaa!!!Mimi na Magufuli tunaamini kwa Mungu mmoja aliyejidhirisha kwetu katika nafsi tatu:
• Mungu Baba (Nafsi ya kwanza ya Mungu)
• Mungu Mwana (Nafsi ya pili ya Mungu)
• Mungu Roho Mtakatifu ?Nafsi ya tatu ya Mungu)
Magufuli hajawahi kuwa mungu wa yeyote.
Halafu ni watu gani hao ambao hawamkumbuki wala kumuhitaji, maana ipo wazi, wewe si mmoja wao.
Ahsnt mkuu acha tupambane kulinda legacy!!Pole sana.
Aende panapostahili• Legacy waliyopambana nayo kuifuta ndio kwanza inazidi kujidhihirisha. Hata mabeberu sasa wanaiga falsafa za Magufuli, angalia kwa mfano suala la Covid-19.
• Watanzania wengi wazalendo na wanyonge wanazidi kuumia na hivyo wanammisi kwa kasi.
• Kanisa Katoliki linaendelea kumuombea pumziko la amani mbinguni.
• Walitaka kuzima maadhimisho ya mwaka mmoja wa kifo chake but they had no choice, watu wakawa busy na Magufuli kuliko mwaka wao mmoja wa madaraka.
• Na kadhalika.
Poleni sana wahuni. Jiwe anaendelea kuwatesa hata katika umauti wake.
Kumfundisha udiktetaKagame alimpotoshaje boss?
Mama anaupiga mwingi sana. Tuendeleeni kufanya siasa za kistaarabu. 😂
Huwa unaenda kuzimu?
Mwili ndio ubaki udongoni,nafsi na roho yako uenda paradiso au kuzimu tegemeana na matendo yako.
Hii kwa mujibu wa maandiko Quran tukufu na Biblia takatifu pia kwa Shuhuda za walioenda na kurudi.
Wa kupewa pole ni wewe chawa wa marehemu unayeshinda hapa kama tarumbeta kumsifia.Pole.
Unawasingizia tu.Kina Nape ndio hadi wamepagawa, wanapinga kila kitu kinachohusu au chenye lengo la kumpa sifa JPM.