Mwaka mmoja bila Magufuli: Wasiokuwa wazalendo waendelea kuweweseka

Mwaka mmoja bila Magufuli: Wasiokuwa wazalendo waendelea kuweweseka

Mwili ndio ubaki udongoni,nafsi na roho yako uenda paradiso au kuzimu tegemeana na matendo yako.
Hii kwa mujibu wa maandiko Quran tukufu na Biblia takatifu pia kwa Shuhuda za walioenda na kurudi.
Jamaa na yeye anasema huwa anakufa na kufufuka. 😁
 
Magaidi wote wapi hapa, hizo siasa za kizee ndio bado mnaleta miaka hii? Hapa tulipo tunajiandaa kesho kula 🦆 baada ya dhalimu kuelekea motoni.
Mama anaupiga mwingi sana. Tuendeleeni kufanya siasa za kistaarabu. 😂
 
Mimi na Magufuli tunaamini kwa Mungu mmoja aliyejidhirisha kwetu katika nafsi tatu:
• Mungu Baba (Nafsi ya kwanza ya Mungu)
• Mungu Mwana (Nafsi ya pili ya Mungu)
• Mungu Roho Mtakatifu ?Nafsi ya tatu ya Mungu)
Magufuli hajawahi kuwa mungu wa yeyote.

Halafu ni watu gani hao ambao hawamkumbuki wala kumuhitaji, maana ipo wazi, wewe si mmoja wao.
Wewe ni mtoto wa JPM? Maana unamuabudu mpaka unatia kinyaa!!!
 
• Legacy waliyopambana nayo kuifuta ndio kwanza inazidi kujidhihirisha. Hata mabeberu sasa wanaiga falsafa za Magufuli, angalia kwa mfano suala la Covid-19.

• Watanzania wengi wazalendo na wanyonge wanazidi kuumia na hivyo wanammisi kwa kasi.

• Kanisa Katoliki linaendelea kumuombea pumziko la amani mbinguni.

• Walitaka kuzima maadhimisho ya mwaka mmoja wa kifo chake but they had no choice, watu wakawa busy na Magufuli kuliko mwaka wao mmoja wa madaraka.

• Na kadhalika.

Poleni sana wahuni. Jiwe anaendelea kuwatesa hata katika umauti wake.
Aende panapostahili
 
Mama anaupiga mwingi sana. Tuendeleeni kufanya siasa za kistaarabu. 😂

Anaupiga mwingi kwenye nini boss, au na ww hilo neno kuupiga mwingi umeliparamia ili uonekane unaenda na wakati?
 
Anaupiga mwingi kwenye nini boss, au na ww hilo neno kuupiga mwingi umeliparamia ili uonekane unaenda na wakati?
Tumeachana na madai ya Katiba Mpya, sasa hivi tunafanya siasa za kistaarabu.
 
Mwili ndio ubaki udongoni,nafsi na roho yako uenda paradiso au kuzimu tegemeana na matendo yako.
Hii kwa mujibu wa maandiko Quran tukufu na Biblia takatifu pia kwa Shuhuda za walioenda na kurudi.

Rudi kasome vizuri hivyo vitabu.
 
Mi nakumbuka tu "Iiiiiiiiiiii"

Jiwe angekuwa Rais bora Sana angekuwa na subira ya kutamka kinywani na angekubali kukosolewa
 
Back
Top Bottom