KANYAMA
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,514
- 2,325
Hahaha wanyantuzu ni majolowe kuliko Kanda maalum ila mheshimiwa Kafulila anakwenda nao vizuri sana.Yuko unyantuzuni, mpeleke mara kama happy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha wanyantuzu ni majolowe kuliko Kanda maalum ila mheshimiwa Kafulila anakwenda nao vizuri sana.Yuko unyantuzuni, mpeleke mara kama happy
Wanafiki wakubwa nyie, mnatutangazia makusanyo makubwa lakini kila siku mnakopa na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu, hizo pesa zinafanya kazi gani kama siyo propaganda?Nilipokuja Simiyu kuanza kazi mwaka jana 2021 baada ya Rais Samia kuapishwa kuwa Rais wa JMT na kuniapisha kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu.
Nilikuta halmashauri zina hali mbaya sana kwenye usimamizi wa mapato.
Maswa ilikuwa imekusanya 39% ya lengo, leo imefika 120%.
Mapato kwa miradi ya maendeleo Bariadi Mji mlitekeleza 30% leo mmefika 99%.
Itilima iliyokuwa kundi la halmashauri duni nchini kwa kukusanya chini ya 1bn, leo imekusanya 1.4bn.
Kesho nitamalizia Busega na Bariadi vijijini tuone CAG anaonesha nini.
Naamini kote kuna mabadiliko makubwa " RC- Kafulila leo Juni27, 2022 baada ya vikao vya hoja za CAG kwa halmashauri za Maswa na Bariadi Mji baada kumaliza vikao hivyo kwa Meatu na Itilima Juni25, 2022.
#Mimi Jabali niko tayari kuhesabiwa siku ya tarehe 23|08|2022,Wewe Je?
Unabishana na takwimu?!Wanafiki wakubwa nyie, mnatutangazia makusanyo makubwa lakini kila siku mnakopa na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu, hizo pesa zinafanya kazi gani kama siyo propaganda?
Kichwa kizito baada ya kuzinguana na zito akiwa naibu katibu alimzingua kafulila mchakato wa ndani wa uchaguzi akasepea nccr na akaibuka mshindi ubunge jimboniNyie kila kitu Mbowe, Kafulila mbona alitokea NCCR,
Nashangaa nami baiskeli zilipe Kodi kiasi hichoYaani 1.4B ni maajabu kwa Halmashauri kukusanya na humo kuna ada za shule na cost sharing za hospitali? shame on them
SawaHaya mapato yametokana na uchimbaji dhahabu na trickle down effect zake haimaanishi mtaka alishindwa kukusanya.
Kafulila ni kiongozi hodari mwenye uthubutu[emoji91]Ni kwa mwaka mkuu
nakubaliana na wewe 100%Kafulila ni kiongozi hodari mwenye uthubutu[emoji91]
jibu swaliTetetete
Sahihi kabisa, but do....Kafulila ni Moja ya ma RC Bora kabisa ktk nchi hii. Hongera sana mkuu
Wonderful Rais SamiaNilipokuja Simiyu kuanza kazi mwaka jana 2021 baada ya Rais Samia kuapishwa kuwa Rais wa JMT na kuniapisha kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu.
Nilikuta halmashauri zina hali mbaya sana kwenye usimamizi wa mapato.
Maswa ilikuwa imekusanya 39% ya lengo, leo imefika 120%.
Mapato kwa miradi ya maendeleo Bariadi Mji mlitekeleza 30% leo mmefika 99%.
Itilima iliyokuwa kundi la halmashauri duni nchini kwa kukusanya chini ya 1bn, leo imekusanya 1.4bn.
Kesho nitamalizia Busega na Bariadi vijijini tuone CAG anaonesha nini.
Naamini kote kuna mabadiliko makubwa " RC- Kafulila leo Juni27, 2022 baada ya vikao vya hoja za CAG kwa halmashauri za Maswa na Bariadi Mji baada kumaliza vikao hivyo kwa Meatu na Itilima Juni25, 2022.
#Mimi Jabali niko tayari kuhesabiwa siku ya tarehe 23|08|2022,Wewe Je?
Yes nadhani hiyo ni sahihi kabisa, Kafulila na Gabriel wasiachweRais kasema kila mtu ametolewa kwa sababu kadha wa kadha ila wengine waliotolewa kwenye u RC atawatumia kwingine so nadhani Kafulira na Gabriel wanaweza pewa hata ubalozi.
😍😍Yes nadhani hiyo ni sahihi kabisa, Kafulila na Gabriel wasiachwe
Mtaka ni chui kvpNiko simiyu, kafulila Yuko vizuri sana , Ni mtu ambaye ni mchapa kazi , Hana majigambo Kama alivyokuwa mtangulizi wake Bwana mtaka chui aliyejificha kwenye ngozi ya Usabato.
Hongera sana kafulila, uko vizuri sana my brother from another mother!
Halmashauri zinatofautiana wigo wa mapato, kwa halmashauri kama itilima kukusanya above 1bil inastahili pongeziYaani 1.4B ni maajabu kwa Halmashauri kukusanya na humo kuna ada za shule na cost sharing za hospitali? shame on them
Hakika, Itilima ni masikini sana kimapatoHalmashauri zinatofautiana wigo wa mapato, kwa halmashauri kama itilima kukusanya above 1bil inastahili pongezi
Kazi ni nzuri sana Rais Samia, we love you,Nilipokuja Simiyu kuanza kazi mwaka jana 2021 baada ya Rais Samia kuapishwa kuwa Rais wa JMT na kuniapisha kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu.