Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Kaka nakutakia afya njema, uvuke salana next year tuje kutaniana hapa tena😅
Mimi sio kaka. Mimi ni Babu.

Nimelipokea dua lako mwa moyo mkunjufu.Nami pia nakuombea heri, tuvuke salama.

Inshallah, Mungu atujalie wote kama ulivyoomba. (sometimes huwa nakuwa na busara na hofu ya Mungu... usinichukulie poa)
 
Mimi nakusoma sana mkuu😅
 
Ohooo…..Asante G😘😘😘Maskini…Mungu akitubariki mia moja basi tunaivunja katikati tunakula na wengine.

Kuna kitu nimeona nikipitie hapa Kwa mara nyingine nikagundua unahuruma na utu ndani yako.

Mungu akutunze Kwa ajili yetu Glenn.
Hata mimi I wish nikuone ninaamini ipo siku tutaonana gafla sana.

Nikikupa taarifa ya kuonana ninaimani utavaa vizuri😂unukie Sijui upendeze…hapa hizo mambo sizitaki..napenda kumuona Glenn akiwa halisi..

Mzee wa S C😁😁if you know you know 😉
 
S c hapo ni nyumbani🤣🤣🤣
Umejua kuniweza mwanangu.

Haha eti kupiga unyunyu haha hata usiponiandaa huo upo 24/7🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…