Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Anhaa... mimi mkubwa nimeshaelewa...

Basi sawa
 
Mkuu, ina maana my love wangu Cillah hajawahi kuwa rafiki yako hadi usimtaje? Halafu shem langu Makiwendo yeye ukamsahau...rudia kutaja watu wako wa nguvu, hii post ni batili🤣🤣🤣
 
Mkuu, ina maana my love wangu Cillah hajawahi kuwa rafiki yako hadi usimtaje? Halafu shem langu Makiwendo yeye ukamsahau...rudia kutaja watu wako wa nguvu, hii post ni batili🤣🤣🤣
Mkuu hao sijawachanganya.
Nimewapa heshima ya kipekee na nimewataja kipekee...endelea kupekua utaona🤣
Mkuu ukiwa na familia kubwa lazima ugawanye wapande magari tofauti.
Ndio yamenikuta hayo sasa🤣
 
Thank you kaka Glenn
 
Mkuu hao sijawachanganya.
Nimewapa heshima ya kipekee na nimewataja kipekee...endelea kupekua utaona🤣
Mkuu ukiwa na familia kubwa lazima ugawanye wapande magari tofauti.
Ndio yamenikuta hayo sasa🤣
Sasa Niko kwenye kundi gani?.la heshima,la kawaida au kikubwa uhai
 
S c hapo ni nyumbani🤣🤣🤣
Umejua kuniweza mwanangu.

Haha eti kupiga unyunyu haha hata usiponiandaa huo upo 24/7🤣🤣🤣
Mpka siku waje wakupandishe bp ndipo utawajua vizuri.

Kwamba 24/7 ni uturi uturini
 
[emoji7][emoji7] Shukrani sana totoo, maisha mema kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha, hivi nikasahauje kukutaja na kumwambia Glenn aache tabia ya kukusahau mrembo wangu.

Happy holidays mrembo wangu mwenye roho ya almasi(una roho nzuri sana), hopefully 2023 itazidi kukufanya uwe mwema zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…