Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

😂😂😂😂
Heri ya mwaka mpya sophy, sisi tutasherehekea ule wa kwetu ukifika(japo utanikumbusha, sikumbuki lini unaisha 🤣🤣)

Halafu tuwaambie waache tabia mbaya kutukosanisha🤣🤣
 
Heri ya mwaka mpya sophy, sisi tutasherehekea ule wa kwetu ukifika(japo utanikumbusha, sikumbuki lini unaisha 🤣🤣)

Halafu tuwaambie waache tabia mbaya kutukosanisha🤣🤣
Ostadh 😂😀😀usijali kabisa tuanze kuwasindikiza kwanza nduguzetu kwenye mwaka wao mpya

Hao wanatukosanisha hawawezi kabisa Mimi na wew dam dam
 
Mimi napend kuishukuru hii sosayati japo sikuhz imepunguz kuna baadhi ya watu wanaiharbu
 
Nakubali sana askari wangu. Mungu atupe afya na miaka zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…