Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Nnachotaka kuwaambia waache kutukana wanawake
Duh, mkuu bado unayabeba moyoni, enjoy life bwana. Mada za kubeza, kutukana, kukashifu na kudhalilisha haziji kuisha hata ufanyaje.

Muhimu tuishi kwa upendo tu!!
 
Nyuzi kama hizi huwa nazikwepa sana kuzisoma,unaweza kujiona ni mkiwa
ISikusumbue mkuu huku watu kama vivuli tu hivyo chukulia poa.
Watu wanabebishana kwa mwandiko na hawajuani
 
Mi mwenyewe nakubali koh koh[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…