Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Hii jf ni cult flan ivi..au kaji secret society flan ivi humu wamo dada zako ila huwezi jua nsiomaana huwa sitongozi ovyoovyo humu
Utatongozaje watu usiokua na uhakika na mambo yafuatayo:

Jinsia zao
Busara zao
Muonekano wao wa nje ( ingawa tunasema sura sio Roho ila muonekano una mata sana)
Hali zao za kimaisha/kiuchumi (hii itakusaidia kuendana na hali yako ya kiuchumi uliyonayo hasa kwa wanaume. )
Viwango vyao vya Elimu (Akili kiukumla)
Dini na madhehebu yao (hapa unaweza tongoza mchawi ukarogwa [emoji3][emoji3])
Nakadhalika nakadhalika, kwa maana vigezo ni Vingi.

Vijana wa hovyo watakwambia unatongozaje mwanamke na huna uhakika kama ana tacle![emoji3][emoji3][emoji3] Wanakwambia sura hata mbuzi anayo. Tabia atafundishwa. [emoji3][emoji3]
 
wacha nikwambie jambo moja mimi nawafahamu watu zaidi ya 30 tunautumia huu mtandao lakini ID hatujuani ila kwa majukumu tulio nayo humu tunajuana nikitizama tuh maudhui yao
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“ Bado una dhania tuu mkuu
 
Hata wewe tukikuuliza unatumia utakana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…