Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mkuu nikijiuliza maswali mengi sana aseee..Mimi binafsi nipo huru natumia popote na hata kazini Wana wakichabo wakikuta nachati wanauliza mtandao Gani nawaelekeza wanakuwa interested wanajiunga .
Hata mimi nipo huru..
Kuna baadhi ya mijadala humu nafatilia.
Napokua namuelekeza mtu yaani anaona me ni mfatiliaji sana kumbe code zote nachukua huku πŸ€“πŸ€“πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na uzuri wa humu watu wanajua mambo na wanayachambua vilivyo
 
Mimi huwa sijifich na nahisi kuna majamaaa humu inanijua nikiwa kwenye daladala natumia jf kwa uwaz nikiwa kwenye starehe ndio usisem kuna siku niliona jamaa ananichora sana nilikuwa jf wala sikujali
Kwenye daladala hata mii nafanyaga hiyo..
Kukiwa kuna hot topic yaani siiachi..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unauza Siri mkuu ..Mimi nondo nyingi Hadi za vita ya Urusi na Ukraine natoa humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…