Mwakilishi wa Palestina Umoja wa Mataifa aangua kilio!

Kinachoendelea sasa hivi huko Gaza ni zaidi ya kilichotokea Oktoba 7!
Utaachia Mateka? au utaendelea kulia na wewe na kumtusi Netanyahu? nataka niwaone mkiwalazimisha Hamas waache Mateka nione kama nyie ni watu au vichaa..

Yaani uteke wanangu alafu nisikukung'ute yaani nitakupa kichapo hadi urejeshe wanangu hata Dunia ikifika mwisho kiufupi sisikii chochote kama hujui uchungu wa Kuzaa kazae kisha watoto wakitekwa ndio utasema Hamas wazuri
 
Utaachia Mateka? au utaendelea kulia na wewe na kumtusi Netanyahu? nataka niwaone mkiwalazimisha Hamas waache Mateka nione kama nyie ni watu au vichaa
Kwani nyie Mazayuni si ndio yenye mateka wengi? Na ndio sababu hamasi akaingia na yeye oct kuchukua mateka ili kuwe na mzani, kwahio hapo nipe nikupe ndio mchezo unatakiwa
 
Kila ulipoweka neno Israel litoe uweke neno USA, maana pale Marekani anawekeza kila kitu kwa ajili ya maslahi yake
 
u
usishangae ni gpt mimi ni mwakilishi wake tu😄
 
Sawa, Hamas wamesababisha yote haya.

Lakini Israel ni lazima iwe na restraint. Watoto wa Kipalestina hawakuwaua watoto wa Kiisrael.

Ua maghaidi. Watoto wa miaka 2,3,4,5….unawaua kwa nini? Wametenda makosa gani?
Mimi bado nakushangaa sana hivi unajua magaidi walivyofanya Oct 07,2023 waliua familia nzima walikuwa wakishindwa kuvunjwa majumba wanayachoma moto bila kujali nani wamo ndani!!!

Nakushangaa Hamas huwasemi sana lakini umezama sana kuilaumu Israel ambaye inajihami lakini huwalaumu sana wachokozi kwenye hili huwezi kuniambia wewe ni Nutral ni lazima tu kama huko upande wa Israel lazima utakuwa upande wa Hamas!!! Huwezi ukawa pande zote maana kuna upande uliovamiwa na upande unapigana kwa kujihami!!
 
Unaonekana unaakili, wambie wawaachie mateka wote. La sivyo Gaza, Iran, Lebanon, Yemen zote zitapata tabu sana milele...na israel watu wanaendelea kula bata
 
yes, umeongea ukweli lakini wewe ndio unauona huo ukweli lakini sisi tusioshabikia vita wala kuchagua upande tunakuona wewe ni mpuyangaji
Hapa hatuko kushabikia vita hapa tunasema ukweli ulivyo kwenye ninyi ndiyo Mnasema tunashabikia vita!! Tunashabikia vita kivipi?

Oct 07,2023 Magaidi walivamia israel wao wenyewe mimi sikuwalazimisha wala sikuwaambia wala hawakunishirikisha. Acha wavune walichopanda!!!!

Ni ujinga kusema wewe huna upande huo ndiyo UNAFIKI watu mmekuwa wanafiki kupita hata huyo shetani vita hii aliyeianzisha ni Hamas Israel inachokifanya kwa sasa ni kujilinda/Kujihami hapo tu iko wazi nani mchokozi anajulikana wazi leo hii anatokea mtu anasema hana Upande basi mtu huyo atakuwa MNAFIKI mkubwa sana.
 
Huu ni UNAFIKI wa Hali ya juu hakuna mtu ambaye Hana upande huyo yuko upande wa Magaidi wa Hamas na ndiyo maana anazilaumu nchi zinazoipa misaada Israel lengo lake kubwa Israel ishindwe au ipigwe na magaidi lakini alipoona inapata misaada ndipo kaamua kuilaum nchi hizo za Magharibi. Kwa mtu mjinga anaweza kusema huna upande wakati unajionyeaha wazi wewe na jamaa zako mnaunga mkono Magaidi wa Hamas hapa mnatuletea tu UNAFIKI !!!
 
Kwani nyie Mazayuni si ndio yenye mateka wengi? Na ndio sababu hamasi akaingia na yeye oct kuchukua mateka ili kuwe na mzani, kwahio hapo nipe nikupe ndio mchezo unatakiwa
Mimi najua kudeal na wajinga kama nyie,,, sema huyo Waisrael waliowateka? na mimi nakupa kesi zao hayo magaidi mauaji yamegonga raia wa israel kwa magari kwa makusudi, yamechoma watu visu hadharani alafu unawaita mateka? iblis wewe... yaani haa kwenu kule ukonga wale wafungwa mkiachwa na propaganda zenu za kipumbavu mtasema Wafungwa wa Magereza ya Tanzania wametekwa na serikali... Upumbavu wenu wa kuichukia Israel kwa makosa yenu mliyoyaanzisha mnajifanya victims.. Mateka wa Israel wana makosa gani taja moja baada ya lingine...

Msilete uislam wenu wakati watu wasio waislam wanajaribu kupnguza hasira za Israel basi mnaona wapo upande wenu nyie waumwa wa Allah Iblis... Israel haionei raia yeyote huko magerezani kuna magaidi yana makosa chungu nzima... Waambie masehetani yenyenu Hamas yaachie mateka kipigo kiishe.

Kwanza kihistoria Waislam ndio wana historia chafu chafu kabisa... Massacle ya Mtume wenu Mohammad dhidi ya Wayahudi Medina akawafukuza mji wao na kapiga marufuku hadi leo myahudi hakanyagi Medina,

Yemen now hamna Wayahudi na ndio nchi iliyo jengwa na Wakristo na Wayahudi, Egypt nchi ya Wakristo Arab muslim wakaiteka sasa hivyo Coptic Christian ni waktafuta kule Alexandria na wanauliwa kila mara wakiwa makanisani na majumbani nyie ni mashetani.

Algeria Morocco,Tuniasia Eghpt Libya Mauritania Sudan mliwa vamia na kuua weusi Malkia wa Tunisia alibakwa hadharani same kama Hamas.. mnajifanya ma victims mashetani kweli Iblis nae kavaa Kanzu anajifanya Muumini kaslim kama Muislam.

Hezbollah nao walitaka kuibadilisha Lebanon from Christian Country iwe Islamic country.. Spain unajua mlifukuzwa hadi vizazi vyenu

Mmelikoroga linyweni hilo.. Netanyahu akaze tu hadi mjambe
 
Kinachoendelea sasa hivi huko Gaza ni zaidi ya kilichotokea Oktoba 7!
Wewe unamchokoza mtu acha akupige tu hapa hatulinganishi unipige mimi kofi harafu utarajie nami nitakupiga kofi sahau kabisa lazima upigwe mpaka uchakae ili iwe fundisho kwa magaidi wenzako.

Hata hivyo Hamas ni magaidi ninyi tu wabongo mnawafagilia vibaka hao!!!
Wananchi wenyewe walishawachoka wamechoka kutumiwa kama ngao hawa hapa wakihojiwa

View: https://x.com/avichayadraee/status/1928126044461994180?s=61
 
Ndio mana Namwambia anajivua nguo pande nyingi JF yeye amepageuza kijiwe cha mabishano yasio na mantiki au kuelimisha jamiii..
 
Ndio mana Namwambia anajivua nguo pande nyingi JF yeye amepageuza kijiwe cha mabishano yasio na mantiki au kuelimisha jamiii..
Safari hii mtanyooka tu na Uongo wenu!!
Ujinga mtupu unanifundisha namna ya kukujibu mimi siyo wewe na wewe siyo mimi kwa hiyo mnataka na mimi niwe kama ninyi?
 
Ameitaja October 7 lakini? Bila kutaja hiyo siku huo ni unafiki wa kiwango cha 10G. Apuuzwe!
Hiyo hawaione wakati hiyo ndio inatakiwa iwe ya kwanza kuonekana badala yake wanaanza na upofu wakifika kwenye matokeo ya October 7 ndio wanafumbua macho.
 
Hiyo hawaione wakati hiyo ndio inatakiwa iwe ya kwanza kuonekana badala yake wanaanza na upofu wakifika kwenye matokeo ya October 7 ndio wanafumbua macho.
Wajinga sana hao jamaa Wanajifanya hawaijui Oct 07 na hawajui kama kuna mateka waliotekwa na magaidi wa Hamas wao wamekalia uongo uongo tu!!!
 
Wapigwe bila huruma maana na wao Oct 7 waliuwa raia na wanajeshi kadri walivyoweza..
 
Mshirikishe Allah bro kwani ile albadir skuizi haifanyi kazi??
 
Ile October 7 si walikuwa wanafurahia acha wapelekewe Moto


Na wao waende kuua watoto wa Israel si jirani zao hapo.


Hatutaki vilio mambo yaende kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…