Mwakilishi wa Palestina Umoja wa Mataifa aangua kilio!

Endelea kujidanganya tu,


Hiyo vita walioko nyuma ni wazungu hao hao wanaohadaa Dunia kuipinga.



Nchi za kiarabu kama UAE na Saud Arabia wanafurahia kuuawa Kwa Extremist hapo sema wanaaamua kutosheherekea.


Kama kweli unataka kuamini kuwa nchi za kiarabu zinaenda kinachoendelea kwanini nchi za kiarabu zimekataa kuchukua Wakimbizi wa palestina. Hawa Kila nchi inayowachukua Huwa wanaishia kufanya mapinduzi.


Misri wao wamejenga Hadi ukuta na palestina na hawataki refugee hata mmoja.
 
Watoto wanaokufa huko Gaza wanamlipa nani akafanye ughaidi?

Hao watoto wanazitoa wapi hela za kuwalipa maghaidi?


Vita vina Sheria zake kwenye kupigana hupaswi kwenda kujificha Kwa civilians.


Sasa unakuja kunipiga halafu unaenda kujificha hospital unataka nifanyaje. Nakulipua tu.


Waaambieni hao Palestina kama wao kweli ni wanaume wavae Gwanda waingie kwenye Battle fields bila kujificha nyuma ya raia Ngoma ipigwe.

Wakiendelea kujificha nyuma ya watu hatabaki mtu hapo.


Yani unakuja kuua raia wangu halafu unakimbilia kujificha kwenye masoko ya watu lazima niwaangamize wote.


Sheria za kimataifa za vita inabidi ziheshimiwe na pande zote sio Israel tu.
 
Wale watoto wa Israel waliouawa October 7 walikuwa na hatia ?


Yule Mollel mtanzania Alieuawa kikatili kabisa na Hadi Leo hawataki kutoa maiti yake alikuwa na hatia.


Qmamae hao mbwa wapelekewe miti Hadi libaki Jangwa napata hasira dogo Mollel Hadi Leo familia yake wanaweweseka familia Yao wameshaenda Hadi Israel ila Hamas hawataki kutoa maiti
Watoto wa Kipalestina si nyoka wala panya. Ni binadamu wasio na hatia yoyote ile.
 
Acha kuishi Kwa historia pumbavu



Huyo Allah si awaokoe hao Palestina mbona kauchuna!



Hao wapuuzi wamemuua kijana wa Kitanzania anaitwa Mollel na alikuwa mwanafunzi tu na maiti yake hawajaitoa Hadi Sasa hivi halafu unakuja kuleta matako yako Kwa wanaume hapa.


Badala usikitishwe na kifo cha mtanzania mwenzako unajifanya kusikitishwa na waarabu shenzi wewe
 
Wawaue maghaidi. Wasiue watoto wasio na hatia yoyote.
Kuna uzi upo humu, umejitambulisha kama wewe ni mwana jeshi wa cheo cha major katika jeshi la Marekani. Sasa hebu fafanua, unawezaje kupiga only magaidi na usiguse kabisa raia, achilia mbali hao watoto. Ukizingatia always magaidi huaga wanatumia raia na watoto kama human shield
 
Thank you Nyani Ngabu
Blessing to you !!
 
Hivi ndio makafiri hufanya, hawajui misingi ya vita, hawana imani, hawana wanachojua zaidi ya mambo ya duniani tu
Arobaini ya Molleli na Joshua tunasoma lini sisi kama Watanzania? Dini ya Kiislamu imetengeneza na kuleta unafiki sana mioyoni mwa waumini wao, Uislam unataka kuona kama mwarabu ni mtu daraja No 1 while watu wengine hata kama ni ndugu zako, ni watu daraja la pili; stupid.
Binafsi siwaonei huruma Wapalestina hata kidogo cause wao wenyewe ndio wamewachokoza maadui zao, wamekua wanajitahidi kuwachokoza zaidi ya miaka 4000 na hawajahi kushinda hata mara moja. Dunia inataka kiwasaidia hata kuondoka tu pale Gaza waende sehemu nyingine, hawataki. Huko si kujitakia KIFO?
 
Wewe unachekesha yaani mtu ahame kwao? Hakuna Uislam unaomuona mwarabu ni daraja na. 1 uislamu hauna daraja katika watu wote na hao waarabu hawana special seat katika hii dini. Na kama unafikiri watahama pale unakosea hiyo ardhi itapiganwa na waislam mpaka masihi arudi kuna mskit mtukufu pale Al aqsa (old Jerusalem) ambao ndio ilikua kibla cha kwanza cha uislamu kabla ya Mecca nani muislamu timamu awaachie? Myahudi kalikoroga pale hawataachiwa na ni death zone ile miaka nenda rudi kwa jamii zote mbili yaani uislamu na uyahudi
 
Wazee wa kuplay victim.cards hao wala musiwaonee huruma magaidi hao.
Yaani wewe kijana wa Pengo uwanja wa fisi Manzese unaumia na kuwajua nani magaidi , zaidi ya hao wayahudi wanaoishi huko israeli ??
 

Kuna jambo hatulijui kuhusu Mollel kuna watu weusi wengi tu hapo Israel lakini iweje wamuue Mollel na kuondoka na mwili? Lakini pia nilisikia mwili wa Mollel hao Hamas hawana je IDF wameupeleka wapi?
 
Yani kama washauri wa Hamas wanaakili kama zako basi si ajabu raia wasio na hatia wanaendelea kuteseka!
 
Hiyo hawaione wakati hiyo ndio inatakiwa iwe ya kwanza kuonekana badala yake wanaanza na upofu wakifika kwenye matokeo ya October 7 ndio wanafumbua macho.
Wanakwepa hoja ya msingi na kujilizaliza ovyo mbele ya media kama wapuuzi fulani hivi.

Walitegemea watengewe wali kwa pweza kwa tukio lile la kishenzi la Oktoba 7? Wanavuna walichopanda washenzi wasiostaarabika.
 
Mpaka sasa hivi watoto wa Wayahudi wameshikiliwa mateka, msichokijua ni kuwa Wayahudi ni makatili balaa, kushikilia mateka watoto wao yaani hata mlie vipi mtaporonoshewa mabomu tu.
 
Sijui nikusaidie kuelewa au niachane na wewe? Huo unao uiita msikiti eti ndio kibra ya kwanza; iko hivi, uislam ni bingwa wa ku copy vitu vya watu na kudai ni vyao, mjenzi wa kwanza wa hiyo nyumba ya IBADA alikua mfalme/nabii Suleiman mwana wa Daudi, mwana wa Yese, mwana wa Boaz nk, huyu alikua Muisraeli wa kabila la Yuda ambalo ndio anatolea PM wa sasa wa Israeli bwana Benyamin Netanyahu. Moja kati ya plan ya bwana Netanyahu ni kuuvunja huo msikiti ili wajenge hekaru lao.... , bado hawaja fikia mwafaka wa hi ifanyike lini. Kama ule ulikua msikiti wa Waislam then why imani ya Suleiman ifanane na Netanyahu, mfalme Daudi, Musa nk na sio imani ya braza Mudi?
 
Walaaniwe Kabisa, ikiwemo wale wanaoipa Israel silaha za kuendeleza unyama (US,UK, Germany)
Si mlikuwa mnasema Israel haiwezi Hamas?
Lengo ni lile lile hadi waseme imetosha
 
Mkuu unavyo maanisha ni as if hii ni derby ya Simba na Yanga wanavutana nani mbabe

Najua Hamas wana madai yao ya msingi kabla ya Oct 7..... lakini walichokifanya siku ile na bado wanadhani wana card sawa ya ku demand watakacho wakati wanao umia zaidi ni wao ni usengelema
Waachilie mateka vinginevyo wajiandae kuondolewa Gaza
 

Kwani hujui kama nabii Suleiman ni muislamu? Na huo msikiti mtume kaswali hapo na maeneo yote hayo ni matukufu? Waisraeli wenyewe wanajua ndio maana mpaka leo wanasita kupabomoa na hivi vita kati yetu haitakwisha.. ndio ujue kwanini hivi vita haitakwisha

Quran 17:1
 

Attachments

  • Screenshot_20250529-074153_1.jpg
    305.5 KB · Views: 19
Leo wamejua kunifurahisha

🇵🇸⚡️🇮🇱 Joint Resistance Operation Report:

"After returning from combat lines southeast of Khan Younis:

1️⃣ Al-Quds Brigades eliminated 10 Zionist special forces soldiers barricaded in European Housing Project with TBG thermobaric round - forcing helicopter evacuations (29/05/2025 - 4PM)

2️⃣ Combined Qassam/Al-Quds unit finished remaining forces in close-quarters combat"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…