Wapumzike kwa amani aiseeKanisa katoliki sio wanafiki wamenyooka hii ni leo kwenye UAPISHO wa mchongo Mwenyezi Mungu,"Tunawaombea wotewaliopoteza Maisha Yao Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu Wa 2025 Uwapokee kwako Mbinguni.
Pia wale wote Walioumia au Kupoteza Mali zao wapone Haraka, Tunaomba hayo kwa Njia ya kristo Bwana Wetu"
Na Yule wa PCPT FernandesKwa kweli hakuwa mnafiki!!
Hawa wawili hawakuwa wanafiki, muft ndio katumia dk kumi kuongea unafikiNa Yule wa PCPT Fernandes
Kanisa katoliki sio wanafiki wamenyooka hii ni leo kwenye UAPISHO wa mchongo Mwenyezi Mungu,"Tunawaombea wotewaliopoteza Maisha Yao Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu Wa 2025 Uwapokee kwako Mbinguni.
Pia wale wote Walioumia au Kupoteza Mali zao wapone Haraka, Tunaomba hayo kwa Njia ya kristo Bwana Wetu"
Mufti ni beki tatu wa SamiaHawa wawili hawakuwa wanafiki, muft ndio katumia dk kumi kuongea unafiki