GE2025 Mwakilishi wa TEC kwenye UAPISHO wa Rais Samia akiwaombea waliofariki dunia katika maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Maskini wenyewe wanajua wamewakilishwa na kanisa kumbe paroko wa Kisasa!
 
Maskini wenyewe wanajua wamewakilishwa na kanisa kumbe paroko wa Kisasa!
Ni wenye akili ya kufikiri tu ndiyo watagundua. Maaskofu wa Kanisa Katoliki huwa wanajua wanachofanya. Hapo mwaliko ulitoka kwa Maaskofu (na hasa Askofu Mkuu Beatus Kinyaiya wa Jimbu kuu la Dodoma), lakini mwakili aliyepelekwa ni Padre!
 
Watawala wangeshtuka kama ule mkanda wa zambarau aliovaa padre uliashiria maombolezo,nadhani wasingemruhusu kuingia!!
 
Watawala wangeshtuka kama ule mkanda wa zambarau aliovaa padre uliashiria maombolezo,nadhani wasingemruhusu kuingia!!
Kwa akili zao butu wasingeweza kugundua. Hata kupelekewa padre, unaweza ukakuta hawajagundua pia kama Maaskofu wamelipuuzia hilo tukio.
 
TEC
 
Catholic ni dola kamili, hawaitegemei serikali, sio mpaka wawalambe miguu. Tofauti na taasisi nyinginecza kidini ambazo bado zinajijenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…