Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #81
Waambie walimu sio mmStress zako zilizosababishwa na wewe mwenyewe juu ya deni lako serikalini linalokupunguzia ki mshahara chako isiwe chanzo cha kuchafua ualimu,
Umekaa unausema vibaya ualimu mbona uuachi kama we mwamba kweli
Na usipokuwa makini kutatua changamoto zako maishani utachizi wewe.
Yeah ni mwalimu namjuwa tupo nae kitaa hapaModerator Maxence Melo hivi huyu jamaa huwa mnamuogopa, nilipandisha uzi wa biashar ya pikipiki mkaufuta, huyu anakashifu walim tena marehem halafu mpo kimya kama hamuoni,
achen upendeleo ifike mahali mpigee ban uzi za huyu jamaa za uzalilishaj, anaweza kuwa ni mwalim huyu ana stress z maisha haiwezekan apondee kias hiki. Sio fair kabisa kupondea kias hiki
HhhahahaYeah ni mwalimu namjuwa tupo nae kitaa hapa
Asipokuwa makini atachizi.
Inakuhusu na wewe hiyo na mwaka huu mkeo anakukimbia umekuwa na stress mpaka kuoga unasahau anasema unanuka jasho sikuhizi ata game anakubania apendi uchafu.Ndowalim wanavyoishi nawapa pole
Ivi kumbeUyu Mpwayungu ni chizi.
Uhuuhuhuhu acha kuwasema vibaya watakufa etiInakuhusu na wewe hiyo na mwaka huu mkeo anakukimbia umekuwa na stress mpaka kuoga unasahau anasema unanuka jasho sikuhizi ata game anakubania apendi uchafu.
Ndiyo we ni chiziIvi kumbe
Hacha kuwaza sana hata ivyo na wewe nashukuru matatizo yako furaha yangu mkeo kasha niambia kila kitu now ata show akupi anasema umekuwa mchafu sikuhizi uogi so now nagonga tu mpaka tigo duh tamu hiyo na vile mweupe bonge ya tako[emoji39]Waambie walimu sio mm
Rejea uzi wa maombi ya ualimu tamisemi mwaka jana, jamaa ni mwalimu sem pdf ilimtema.Ukweli ni kwamba wewe ni mwalimu utake usitake na unaonekana una mawazo mno.
KummermmakoChizi kweli wewe, unafiri hapa ni kwenu, jamiiforum is free chat where we dare to talk
Acha kutupiga kamba wewe ni mwalimuππππNikupe pole tena nakupa pole, pesa ninayo ingiza hapa Kariakoo kwenye biashara yangu ya makapeti na mapazia ya nyumbani ni zaidi ya million saba Kwa mwezi hiyo sio profit ni NET PROFIT
Alienda kutafuta uchawi au vyovyote vile ili afanikiwe, hiyo sio sababu ya kumcheka mtu aliyeuwawa na majambazi na kuporea, maana hakwemda kudhuru mtuYani iko hivi, angevamiwa na wezi ningetoa hata pesa ya jeneza ila JITU lililokufa Kwa kutafuta uchawi tena jalimu mm siwez huzunika, usimwache mchawi akaishi
Hv mpwayungu village ushawahi kuwa mwalimu ...?Malofa Aya
Hahahahaha mpwayungu villageNi mwalimu huyu anamsongo mkubwa wa mawazo.