Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #81
Waambie walimu sio mmStress zako zilizosababishwa na wewe mwenyewe juu ya deni lako serikalini linalokupunguzia ki mshahara chako isiwe chanzo cha kuchafua ualimu,
Umekaa unausema vibaya ualimu mbona uuachi kama we mwamba kweli
Na usipokuwa makini kutatua changamoto zako maishani utachizi wewe.