Mwalimu aliyetoweka Simiyu akutwa amefariki Musoma

Mwalimu aliyetoweka Simiyu akutwa amefariki Musoma

Stress zako zilizosababishwa na wewe mwenyewe juu ya deni lako serikalini linalokupunguzia ki mshahara chako isiwe chanzo cha kuchafua ualimu,

Umekaa unausema vibaya ualimu mbona uuachi kama we mwamba kweli

Na usipokuwa makini kutatua changamoto zako maishani utachizi wewe.
Waambie walimu sio mm
 
Moderator Maxence Melo hivi huyu jamaa huwa mnamuogopa, nilipandisha uzi wa biashar ya pikipiki mkaufuta, huyu anakashifu walim tena marehem halafu mpo kimya kama hamuoni,


achen upendeleo ifike mahali mpigee ban uzi za huyu jamaa za uzalilishaj, anaweza kuwa ni mwalim huyu ana stress z maisha haiwezekan apondee kias hiki. Sio fair kabisa kupondea kias hiki
Yeah ni mwalimu namjuwa tupo nae kitaa hapa
Asipokuwa makini atachizi.
 
Waambie walimu sio mm
Hacha kuwaza sana hata ivyo na wewe nashukuru matatizo yako furaha yangu mkeo kasha niambia kila kitu now ata show akupi anasema umekuwa mchafu sikuhizi uogi so now nagonga tu mpaka tigo duh tamu hiyo na vile mweupe bonge ya tako[emoji39]

Ongera kwa kuwa na mke mzuri ila wewe usipo badilika na mke anakuacha.

Tumia akili.
 
Uyu bwana mdogo alikuwa mwalimu akaacha Ili kufanya biashara, kapata hasara na mtaji kukata.
 
Nikupe pole tena nakupa pole, pesa ninayo ingiza hapa Kariakoo kwenye biashara yangu ya makapeti na mapazia ya nyumbani ni zaidi ya million saba Kwa mwezi hiyo sio profit ni NET PROFIT
Acha kutupiga kamba wewe ni mwalimu😂😂😂😂
Either:
1. Umefukuzwa kazi
2. Umekosa ajira
3. Kuna ticha kakuchapia.
Hakuna mfanyabiashara aneweza pata muda wa kuandika mambo ambayo hayamjengi kibiashara. Na hakuna mfanfanya biashara anaweza kujua mambo ya walimu mara sijui halmashauri anapata muda saa ngapi??

Bob punguza stress km Kuna ticha kakuchapia huku JF katuletea kisanga 😂😂😂😂😂
 
Yani iko hivi, angevamiwa na wezi ningetoa hata pesa ya jeneza ila JITU lililokufa Kwa kutafuta uchawi tena jalimu mm siwez huzunika, usimwache mchawi akaishi
Alienda kutafuta uchawi au vyovyote vile ili afanikiwe, hiyo sio sababu ya kumcheka mtu aliyeuwawa na majambazi na kuporea, maana hakwemda kudhuru mtu
 
Back
Top Bottom