Lwaitama alipostafu pale UDSM ALICHUKUA MAFAO YAKE YOTE
AKAOA MALAYA SIKU HIZI ANATEGEMEA CHADEMA ILI ALE
AMECHOKA KIASI KWAMBA HATA UBONGO WAKE ULISAHAU HAKI
ANAONGEAGA CHOCHOTE TU
WAHAYA SIO WAJINGA NI YEYE TU ANAYEWASHABIKIA WATU WA WAKAZI KAZINI
KINACHOMTESA NI MAFAO YAKE KUTUMIKA VIBAYA
Wewe umeona tu Rais kuifuta kesi ya Mbowe ni kuingilia mhimili huo wa Mahakama...........Mkumbusheni dr Lwaitama kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa kufuata misingi ya sheria. Rais kufuta kesi inayoendelea mahakamani ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Aache mahakama ifanye kazi zake kwa mujibu wa katiba na sheria. Kufuta kesi kwa kufuata hisia za kisiasa ni upuuzi na kusigina katiba na sheria zake.
Wewe umeona tu Rais kuifuta kesi ya Mbowe ni kuingilia mhimili huo wa Mahakama...........
Lakini hujaona mahojiano yale na Kikeke wa BBC kuwa Mbowe ni gaidi, hajaingilia mhimili huo wa Mahakama??
Acha ujinga ulichoandika hapo chini sija kielewa hiii Bagosha ndo nini? Sasa
Ile kesi mwamba imemkalia vibaya.
Kweli ni aibu na ni kufedhehesha Mahakama. Jaji tena Jaji Kiongozi unatoa hukumu kwa kufuata mawazo yako binafsi na sio vifungu vya sheria??? Nasikitika sijui hata kaingiaje kwenye Mihimili huu wa Mahakama??? Katiba Mpya ni muhimu sana ili Mihimili huu uweze kuwa na watendaji wenye weledi.Kwanza huyu ni Mwalimu Lwaitama. Mtake radhi tafadhali.
Pili zingatia:
1. Katiba iliyopo yenye mhimili wenye kujichimbia zaidi,
2. Kesi ya kubumba.
Nini kinashindikana hapo?
Uhuru upi unaouongelea wewe?
Kwani hukumu ya Siyani hujaiona au hata kuisikia?
Acha kufikiri kwa kutumia kichwa cha chini hizo za NIDA na mashehe wa uamsho zilizofutwa juzi juzi zilifikia hukumu?Mkumbusheni dr Lwaitama kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa kufuata misingi ya sheria. Rais kufuta kesi inayoendelea mahakamani ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Aache mahakama ifanye kazi zake kwa mujibu wa katiba na sheria. Kufuta kesi kwa kufuata hisia za kisiasa ni upuuzi na kusigina katiba na sheria zake.
Kwanini aingilie uhuru wa mahakama, mboe anawatu nyuma yake nguvu ya ummaMsomi Nguli Mwalimu Lwaitama amefunguka yenye kujenga, kwake Mheshimiwa Rais:
View attachment 1984686
Yawezekana kuganga yajayo kwani yaliyopita si ndwele.
Hoja ya Mwalimu Lwaitama ina mashiko.
Hoja ya Mwalimu Lwaitama ni yenye kuzingatia katiba ya sasa na hasa uwepo wa ule mhimili uliojichimbia zaidi.
Habari za tashwishi ya afya au hali ya mheshimiwa Mbowe kwa ujumla gerezani ambako hakuweza kuonwa leo, zimfungue macho Mheshimiwa Rais.
Hala hala kabla ya hatari.
Mola ampishilie mbali pepo mbaya.
Acha ujinga ulichoandika hapo chini sija kielewa hiii Bagosha ndo nini? Sasa
LWAITAMA ALIPOZEEKA NDO SIASA IKAMWINGIA DAMUNI SIO UDWANZI HUO
Kwanini aingilie uhuru wa mahakama, mboe anawatu nyuma yake nguvu ya umma
Wala sihitaji kujulikana,impact yangu ndiyo muhimu.Ndiyo maana nipo JF ili niweze-share na wengine what I know.Humanity has been cheated for too long.
Huu ni ujinga mahakama iko huru ata wao chadema wanajua hilo, alisikika mwana chadema mmoja mahakamani siku ya hukumu ya sabaya akisema "mahakama iko huru sasa tangaia magufuli alipokufa"
Ni upumbumbavu kuamini mtu kiasi hicho mbowe alikuwa na mahusianao na joyce mukya alishaawahi kukuambia na mlovyoambiwa kama kawaida yenu mkashupaza shingo , mbowe si malaika na kubwa zaidi haulali naye ana privacy zake acha kuabudu watuKuna wakati mtu hata akiandka upuuzi, lakini akaandika kwa Kiingereza, basi huwa anaamini ameandika hoja ya msingi.
Kwa ufupi, siku zote amayemshtaki mtu yeyote, ana uwezo wa kuachana na krsi. Anachofanya ni kuitaarifu tu mahakama.
Samia ndiye aliyemkamatabowe, ndiye aliyembbikizia mashtaka, na ndiye anayemshtaki. Akisema hayaki kuendelea na hayo mashtaka aloyombambikia, hakuna atakayeendelea nayo.
Mbowe yupo mdani anateseka kwa sababu ya matakwa ya Samia.
1) Kaka mawakili wenu ndiyo waliozingua kwa sababu walipinga cautioned Statement ya Adamoo ambayo hata haikuletwa mahakamani. Badala ya kupinga iliyochukuliwa pale Central police wao wanapinga kitu ambacho hakipo mahakamani.Pakiwa na katiba mpya patakuwa na uhuru wa mahakama na bunge. Hapa kutakuwa na nafasi ya mihimili kutoa sauti zake kamili na kwa uhuru.
Kwani hukumu ya mapingamizi ya juzi imetolewa kwa kutumia ushahidi upi?
Kwani ushahidi upi umemfanya jaji kuona ushahidi wa upande wa mashtaka ndiyo ulio bora?
Kwani ushahidi upi umemfanya jaji kuona ushahidi wote wa upande wa utetezi ni bogus na unastahili kutupiliwa mbali?
Au jaji ni sehemu ya upande wa mashtaka kwamba pia ana na ushahidi mwingine ambao haukuwekwa wazi mahakamani?
Au jaji ni malaika kuweza kubaini ni ushahidi upi wa kweli au wa uongo kwa kusikiliza tu, au hata kwa kupitia majumuisho 2 yenye kukinzana 100%?
Si kweli kuwa hizi ni figisu za kisiasa tu na mkono wa Serikali ndani yake ni kama wote?
Mkuu hao wengine ni sawa na njiwa wanvyokuwa wanarukia kwenye mtama au uwere ili kujaza matumbo yao tu.Kama katiba inaruhusu uwepo mhimili uliojichimbia zaidi, kesi za kubambikiziana na hukumu za kutengeneza, huoni huu ni msimamo murua zaidi:
View attachment 1984836
Hata darasani si lazima kwa wanafunzi wote kumwelewa Mwalimu Lwaitama [emoji16][emoji16]!
Mengine yote uliyoandika hayahusiki kwani:
Kudai haki hakuwezi kuwa bila gharama
Kudai mabadiliko ya katiba katikati ya madwalimu, kuna gharama zake zinazojulikana. Kwani nani hayajui hayo akiwamo Mh. Mbowe?
Ungekuwa umemwelewa Mwalimu Lwaitama ungemhurumia Samia. Njia aliyochokua itamwacha na aibu ikimgharimu, usijedhani sisi manabii.
Yeye yuko pale kwenye kiti kirefu kufanya nini wakati anategemea maamuzi ya jirani?Lakini watu si wanasema Mama hana nguvu ila kuna watu ndio wanaongoza au hayo ni maneno ya vijiweni?
Huyo ni sawa na muuza kashata tu kwa dr Lwaitama.Magonjwa Mtambuka Mwalimu Lwaitama siyo size yako wewe shughulika na kina Dr. Mathanzua [emoji16][emoji16]
Naona unateseka sana baada ya dr Lwaitama kuoa na kuwacha kukulipa wewe posho ya kumfanyia ukuwadiLwaitama alipostafu pale UDSM ALICHUKUA MAFAO YAKE YOTE
AKAOA MALAYA SIKU HIZI ANATEGEMEA CHADEMA ILI ALE
AMECHOKA KIASI KWAMBA HATA UBONGO WAKE ULISAHAU HAKI
ANAONGEAGA CHOCHOTE TU
WAHAYA SIO WAJINGA NI YEYE TU ANAYEWASHABIKIA WATU WA WAKAZI KAZINI
KINACHOMTESA NI MAFAO YAKE KUTUMIKA VIBAYA
Kama Mungu alivyotenda hakiMbowe ana kiburi na dharau sana. Iacheni mahakama itrnde haki.