Mwalimu Lwaitama: Kesi ya Mbowe: " Rais Samia anayo Mamlaka ya kuifuta"

Mkuu sidhani kama unaelewa ulichokiandika.Kasome majukumu ya Rais ni yapi mkuu na mipaka yake ya kufanya kazi.Pia tambua kuwa kesi ikiwa mahakamani Rais hawezi fanya chochote kile.

Mr. Freeman Mbowe, ana tuhuma za ugaidi ambazo ni lazima mahakama ijiridhishe kwamba ni kweli au la!

Ingawa kupitia ushahidi wa cautioned statement iliyotolewa na Adamoo kule Polisi alikiri kuwa walikuwa wametumwa na mbowe ili kufanya kosa la Ugaidi. Hivyo huyo Mbowe wenu kuchomoka ni ngumu sana.
 

Huyo mwenye mipaka ndiyo huyu huyu?

 
Ngoja tuone, though Rasi hapangiwi wala hashinikizwi...
 
Manashauri raisi avunje sheria, aamulie mahakama sio?, kwa kuwa ni mbowe mtu wenu?
Angekuwa suo shabiki wenu ila kwa wengine hapana hatakiwi?
Subilieni mahakama imalize kazi kama ni wa kuwa huru atakuwa tu na kama ni gaidi basi ataswekwa ndani lasmi.

Mwambie kibatara aache kufungua vikesi ambavyo havina kichwa wala miguu na kumchelewesha mwenyekiti kusota ndani.
 
Niliwaambia hili, wanauliza maswali hayana maana kabisa[emoji16]wakasema mimi sina ilimu, nikawambia sawa na LY yangu lakini nimegundua hawa mawakili wanapiteza mda bure tu,,
Sasa Lwaitama anataka Rais afute kesi,, is he mad?,
Rais sio judge[emoji23][emoji23]
 
Statement sio ishu, it is just words angaisnt mbowe's, inatakiwa concrete evidence which will leave no reasonable doubt kwamba mbowe aliwatuma wakafanye ugaidi, na huo ugaidi ulifanywa wapi au kuna vitu gani vilipelekea conclusion kwamba ugaidi ulikuwa ufanywe,,,
Je kuna milipuko ilikamatwa?, Au silaha labda ambayo inaweza kuwa connected to mbowe?, Au labda kuna audiovisual evidence ikionyesha mbowe akimtuma huyo Adamoo kwenda kufanya ugaidi etc[emoji847][emoji847]
 

Umejiridhisha kuwa umesoma vizuri? Kumbuka Mwalimu Lwaitama si wa chekelea wala si Don uchwara.

Kwenye jamhuri ya wadanganyika ambako:

1. mhimili mmoja unaweza kujichimbia zaidi kama unavyojisikia,
2. watu wakabambikiziwa kesi,
3. watu wakabambikiziwa hukumu;

Sheria zipi mhimili kama huo unaweza kuvunja au kuheshimu na mamlaka ipi ikathubutu kulisemea hilo?
 

Mkuu labda kama ndiyo kwanza umefika kutokea sayari nyingine. Kwani ni leo ndiyo unayasikia haya?



Uhalisia wa kuwa tunaishi kwenye jamhuri ya wadanganyika ambako:

1. Mhimili mmoja kwa raha zake, wenyewe umeweka wazi kuwa umejichimbia zaidi,
2. Mhimili huo umekiri kubambikia watu kesi,
3. Mhimili huo umekiri kudhulumu watu yaani kuwabambikizia watu hukumu.

Ninakazia:



Hii si jana, leo wala kesho.
 
Hicho kimombo wajameni, kwani umelazimishwa kuandika?
 
Sijalewa kama umeelewa nimeandika nini na sijaewlewa umeandika nini. Bila shaka utajiita akili kubwa mimi akili ndogo!

Ni kawaida mtu kusoma tena kama hajaelewa.

Soma tena.

Kama hujaelewa, soma tena!
 
Huyo eti ndiye size za akina Mwalimu Lwaitama. Mwingine Magonjwa Mtambuka ukurutu hadi mgongoni. Eti ndiyo ma tenki ya fikira hayo 😁😁.

Hiiiii bagosha!
Lichama lile kuna vichekesho kwa kweli. Eti baadhi yao ndio wanaojipachika kutawala nchi hii.
Afrika ya joto haing'oi nanga. Rene Dummont
 
Kwani hiyo mahakama ndiyo ilimshitaki au mhimili wa Serikali? Bila shaka aliyekushitaki anao uwezo wa kuifuta hapo mahakama haijaingiliwa
 
Kwa hiyo Mbowe asipo chomoka ndiyo nchi yetu masikini wa kutupwa itakuwa tajiri namba moja duniani?

Mbowe akifungwa au kunyongwa itakusaidia kitu gani wewe masikini ya kutupwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…