Mwalimu Mwakasege: Corona ndio Tauni kwa mujibu wa Biblia

Halafu tauni Ina ambukizwa na panya Kama sijakosea
Biblia ya kingereza inasema ni plague numbers 16:46, Sasa Kama hao waliotuletea dini wanaosema ni plague, kwa kiswahili ndo tauni

Plague au tauni Ina maana Zaid ya moja, mosi ni ugonjwa Kama ugonjwa, na pili ni ugonjwa unao ua watu wengi kwa mda mfupi, kwa hiyo alivyosema Corona ni plague akukosea
 
Na tauni itakuwa nini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona hukunielewela, mimi niliuliza ili kuelewweshwa kama ulivyofanya hapa ndio nimeelewa
Ok sawa sawa mkuu

your welcome,ndo hivyo mkuu.
Hana audience yoyote,..kwa hiyo ule ukumbi ameuweka pale kwa sbabu anafuatiliwa na watu wengi zaidi

Kesho nayo ni siku jaribu kuingia you tube mida ya saa kumi na nusu hiv had kumi na mbili then jaribu kumsearch utamwona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru, namfuatilia Live UPENDO TV
 
Kasome Numbers 16:46 utaelewa kwanini anasema korona ni tauni
 
Wale ni spiritual hawana dawa,
Si ndo wanafanya uponyaji? Sa wafanye sasa, wasisubiri mabingwa wanaoumiza vichwa vyao kutafuta ufumbuzi wa tatizo wamefanikiwa halafu wao waje na ule usanii wa wale wanawake zao wanaosemaga "nilipewa kila dawa hospitalini sikupona,ila nikaja hapa kwa mara ya kwanza mwezi wa nne mwanzoni,ukawa unaombea wagonjwa basi na mie kurudi nyumbani siku ile nikakuta mungu wako ametenda muujiza,yaaani (kwa sauti ya kike) nikajikuta nshapona korona.kwenda hospitali kupima wakanambia sina kirusi hata kimoja".
Nabii anamwuliza: hata kimoja?
Mwanamke anajibu: eeeh hata kimoja.
Kudadadaki.jinga kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan wamekulazimisha uwaamin, we Kama umewaona ni matapeli wapotezee kwan uteseke
 
Goma bado halijajulikana tutadumu nalo kwa muda gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…