Mwalimu Mwakasege kufundisha katika semina ya Karismatiki ya Kanisa Katoliki jijini Dodoma 31/05/2022

Ninachoamini haukuwa ujumbe wako. Yupo aliandaliwa kwa ujumbe huo. Wakati mwingine Mungu hutafuta mtu mmoja tu ktk nchi nzima kama ilivyokuwa kwa Ayubu. Barikiwa.
 
Inshu ilikuwa ktk maombezi.
Walikuwa wanaandika wana maombi hawaruhisuwi kuingia. Walikuwa wanasalia mlangoni.
Baadaye wengi wakawa wanatoka. Ikaonekana wanakosa washirika, wakaombewa kibali kwa papa wawe wanashiriki misa za jumapili huku ibada zai wafanye jioni au muda tofauti.
Wakaanza kujenga makanisa yao karibu au mbali na makanisa ya kikatoriki.

Walionogewa ndo ikawa basi. Lakini huwa wanatumia sala kama risari au Salam maria pia
 
Usiwe Tate mkuu ambaye si mkuu kwa maarifa. Yaani unamuweka Mwamposa ktk mizania na Kakobe !

Halafu kuna wachungaji wengi hawana mauza uza ya kuuza vitu vya upako. Juelimishe kuwajua kabla ya kuwadhalilisha
 
Tangu lini mwa RC anaamini ujazo wa Roho mtakatifu na kunena?
Tangu lini RC akubali mafundidho ya kilokole?
Imeandikwa.." kwa mtini jifunzeni" sio lazima watangazwe kujitenda bali tunasngalia matendo na matunda yao.
We katoliki unavyoiskia sivyo ilivyo....hakuna kinachofanyika kwenye makanisa ya kilokole ambacho hakijaigwa toka katoliki..kuanzia mafuta wanayoita ya upako (katoliki ni mafuta ya krisma),maji ya baraka ambayo nyie mnaita ya upako,sijui kula keki (katoliki ni mkate wa ekaristi). Hadi jumuia siku hizi zimeigwa. Mkiambiwa ni kanisa mama muwe mnaelewa
 
Upo sahihi 100%. Ila huyu hajaenda chuo cha Biblia hiyo Hermeneutics na Homiletics vimempita pembeni. Twende naye hivyo hivyo.
 
Jimbo la Dsm wawe wanamchukua Mwamposa ili waumini wakitoka kwenye mafundisho waende wakaokote magari na fweza.
 
Hili ni funzo kwa sisi wakristo ni kuondoa udhehebu na kuwa kitu kimoja mimi huwa nashangaa sana kuona mkristo anamsema mkristo mwenzake wakati kila kitu tunafanana na bible ndio kitabu chetu ifike mahala udhehebu uondoke kabisa na siku zinavyosonga tunaona udhehebu unapotea kwa kasi safi sana
 
Tangu lini mwa RC anaamini ujazo wa Roho mtakatifu na kunena?
Tangu lini RC akubali mafundidho ya kilokole?
Imeandikwa.." kwa mtini jifunzeni" sio lazima watangazwe kujitenda bali tunasngalia matendo na matunda yao.
Ndugu NI lini mara ya mwisho ukiingia ndani ya Kanisa katoliki? Usitoke conclusion za juu juu. Roho Mtakatifu hakubagua alipowashukia familia ya Kornelio walikuwepo wenye kila tabia... Soma tena Year 31:29-30
 
Tuzidi kumuomba Mungu kazi yake aliyoijia duniani ikamilike. Kusemana huku hakuna tija.... Wewe unajua ... Mimi sijui... Tuelimishane ili tutembee pamoja.
Ubarikiwe sana Chokodari . Huu ndiyo uelewa WA Hali ya juu. Usio na ubaguzi
 
Mhhh kanisa katoliki au umekosea mkuu.
Kibali cha kwenda kuhubiri kimetolewa na nani.

Katoliki syo sawa na kina mwamposa,
Anyway ngoja tungoje
Acha udhehebu haitakiwi kwa dunia ya sasa badilika wewe amka na ushangilie kuona ukristo unakuwa kitu kimoja duniani, sipendi udhehebu kwenye ukristo sisi wakristo adui ni nje ya ukristo amkaa wewe
 
Hivi huyu Mwl. Mwakasege yeye mwishoni mwa mahubiri yake uwa haombi sadaka kama ilivyo kwa wengine?
Lazima itolewe sasa unafikiri waandaaji mahema, jenereta nk wafanyeje ??!changa hata za jenereta sio kuwaza sadaka tu unaliwa tuu??!!πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Ndugu NI lini mara ya mwisho ukiingia ndani ya Kanisa katoliki? Usitoke conclusion za juu juu. Roho Mtakatifu hakubagua alipowashukia familia ya Kornelio walikuwepo wenye kila tabia... Soma tena Year 31:29-30
Aliwashukia waliomhitaji.
Wakatoliki hawanaga shauku ya ujazo wa roho mtakatifu.
Wakatoliki wengi wanaishi kama jeshini..
Kumsikioiza Padri.
Hawasomi neno la Mungu.
Wengi wao hata kushika biblia hawajui.

Ukristo ni shauku ya kumjua Mungu kupitia maandiko na kujisimajia kumcha Mungu wewe binafsi na sio kwenda kama likondoo.
 
Mhhh kanisa katoliki au umekosea mkuu.
Kibali cha kwenda kuhubiri kimetolewa na nani.

Katoliki syo sawa na kina mwamposa,
Anyway ngoja tungoje
Kama Wewe ni mkristo WA dhat ingia kwenye YouTube: Andika kongamano la Pentekoste Karismatiki Dodoma: kuanzia day 1 Hadi sasa naamini maswali mengi uliyo nayo yatajibiwa. Na kama Wewe ni mkatoliki utaeleweshwa pia kuhusu sinodi ..
 
Kama Wewe ni mkristo WA dhat ingia kwenye YouTube: Andika kongamano la Pentekoste Karismatiki Dodoma: kuanzia day 1 Hadi sasa naamini maswali mengi uliyo nayo yatajibiwa. Na kama Wewe ni mkatoliki utaeleweshwa pia kuhusu sinodi ..
Kama mmeanza kubadilika ni jambo jema sana.
Naona nyie ni watu wa mapokeo tu ya Dini na mila za Kirumi.
Ukristo uliochanganywa na imani ya asili ya mila za kirumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…