Mwalimu Mwakasege kufundisha katika semina ya Karismatiki ya Kanisa Katoliki jijini Dodoma 31/05/2022

⛔Kama hausiki na maushirikina ya maji ya upako, mafuta leso na sabuni

⛔Kama hatodhihaki misingi ya imani katoliki, heshima kwa makasisi na ukasisi wao, heshima kwa mama bikira maria, Kuwaomba watakatifu, ibada nzima ya ijumaa kuu na vipengele vyake vyote

Basi ruksa lakini kama ataleta mazingaumbwe kama ndugu yake mwamposa hapana
 
Sad. Badala ya waprotestanti wajifunze kwa wakatoliki ambao ndio wakristu hasa, sasa hivi wao wanajifunza kwa waprotestanti ambao ni waasi. Sad story.
 
Yaani hao waliompa mwaliko watashushiwa ban na kanisa katoliki. Hawataamini macho na masikio yao. Yetu macho
Hicho kitu hakipo. Kama miaka mitatu iliyopita, Fr Karugendo (PhD) wa RC aliwahi kukaribiswha na Pastor Kimaro wa KKKT Kinondoni kanisa la walokole na akatoa huduma iliyokuwa inarushwa LIVE kwenye UPENDO TV muda wa wiki nzima. Ni watumishi wanaofanya mambo yao kinyemela tu ndiyo wanaopigwa ban na Kanisa la RC, na si watumishi wanaofanya kazi zao kwa weledi kama Mwalimu Mwakasege
 
Kanisa lipo makini sana. Mafundisho ya mwakasege sio yote yanaendana na kanisa no matter how good they sound maskioni kwa watu.
 
Yaaan huyu mzee amejitahid kumtumikia Mungu kwa kias cha juu sana. Kuna masomo huwa anafundisha usipo msihi Mungu afungue ufahamu wa kiroho unaweza kujikuta siku zote za mkutano umeenda kutembea tu ili umuone na kumsikia 😂😅
 
WALUTHERANI WALIMPIGA VITA HUYU MWAKASEGE WAKACHEMSHA IKABIDI WAWE WAPOLE TU.
AKAANZISHA MINISTRY NDANI YA KANISA NA ANAWAONGOZA HADI SALA YA TOBA WACHUNGAJI WAKILUTHERI WASIOOKOKA.

YAJAYO YANAFURAHISHA.
Baadhi ya walutheri au wote..nipe data mkuu.
 
Kanisa lipo makini sana. Mafundisho ya mwakasege sio yote yanaendana na kanisa no matter how good they sound maskioni kwa watu.
Ni kweli. Kumbuka pia kuwa mafundisho kutoendana na Kanisa haimaanishi kuwa hayako sahihi, bali yanakuwa possibly hayaendani na Dini husika tu
 
Inapendeza
Imenishangaza, ni ujinga tu. Yani ana nini kipya cha kulifundisha kanisa kongwe kupita yote, kanisa halisi la Kristu? Wakarismatiki ni watu wa ajabu sana. Wanaiga mambo ya kiprotestanti badala ya wao kuwafunza waprotestanti. Mi huwa nashangaa kwanini wasiende zao huko kwa walokole wakafanye hayo mambo yao kama walokole maana ndio inspiration yao.
 
Inaonekana Una Nyongo sana mkuu ila ndyo hivyo..Maaskofu wamekubali na walikuwepo..Jana ilikuwa Day 1 na leo Shughuli inaendelea...

Kama Maaskofu wamekaa chini na kutafakari na kuona inafaa wewe ni nani hata upinge?

Ila unapaswa kufahamu hakuna kanisa lililo na kila kitu Duniani...wote tunategemeana.

Picha za Jana.......↓↓↓↓
 
Amina
 
Maaskofu gani we mjinga?
 
Bibilia wametengeneza wao alafu tena hawaijui? Kituko
 
Unahisi wa Rombo walihisishwa kuiandika?
Rombo inatokea wapi hapo? Jinga. Katoliki ndio wenye bibilia. Unadhani kukariri mistari ndio bibilia kuijua we juha Kalulu. Watu wanajua historia ya kila mwandishi, mazingira, tafsiri na nyakati ya kila kitabu, misa yenyewe ni very biblical. Yani sijui mnakipi Yani cha kutufundisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…