Huwa yana ujinga wa asili.Usishangae.Kweli aisee. Kipindi cha mwendazake ghafla Wa-push wote wakawa wanaccm. Unajua nilishangaa sana.
Aisee mpaka leo sijajua sababu ilikuwa nini.Huwa yana ujinga wa asili.Usishangae.
Mfano tumeuona. Mwanzo utaona wanakidhi baadae wanaingiwa na EgoHoja ya nyerere in ukakasi mkubwa Sana ko Kama mtu wa kabila kubwa anakidhi vigezo vya uraisi aondolewe kwasababu ya kabila lake
Mrundi anakuwaje kabila kubwa-alisha kosoa MembeKati ya vitu ambavyo nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya tano
Nadhani wahusika mmejifunza pia na hamta rudia tena makosa mliyo yafanya miaka mitano iliyo pita kwa sababu madhara yaliyo tokana na hilo bado yapo na yanaendelea kuitesa serikali ya awamu ya sita , nadhan wenye uelewa mzuri wameelewa.
Logout.
mvua ilisepa na Magufuli mtu wa Mungu. Huu muda ungeutumia kwenda kutubu.Kati ya vitu ambavyo nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya tano
Nadhani wahusika mmejifunza pia na hamta rudia tena makosa mliyo yafanya miaka mitano iliyo pita kwa sababu madhara yaliyo tokana na hilo bado yapo na yanaendelea kuitesa serikali ya awamu ya sita , nadhan wenye uelewa mzuri wameelewa.
Logout.
Hawakatazwi kugombea ila kutokana na mindset tuliyoaminishwa hatuwezi kuwapa kuraAcheni upumbavu kwani sifa ya kugombea nafasi ya Rais, inasema kabila fulani ndio wenye sifa za kugombea nafasi ya Rais?
Makabila makubwa si tatizo ikiwa katiba inakidhi vigezo.Sawa kaka kwani makabila makubwa ni yap ndo Maana nasema hii hoja ni mtambuka sana
Sukuma gangKati ya vitu ambavyo nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya tano
Nadhani wahusika mmejifunza pia na hamta rudia tena makosa mliyo yafanya miaka mitano iliyo pita kwa sababu madhara yaliyo tokana na hilo bado yapo na yanaendelea kuitesa serikali ya awamu ya sita , nadhan wenye uelewa mzuri wameelewa.
Logout.
Hata hapa jf jaribu kufuatilia kuanzia mwaka 2015 angalia walio jiunga na njoo kwenye post zao ndiyo uraaminiKweli aisee. Kipindi cha mwendazake ghafla Wa-push wote wakawa wanaccm. Unajua nilishangaa sana.
Hilo halipingikiHuwa yana ujinga wa asili.Usishangae.
kweliHata hapa jf jaribu kufuatilia kuanzia mwaka 2015 angalia walio jiunga na njoo kwenye post zao ndiyo uraamini
Hakuna cha ukakasi hapo bali ndiyo ukweli.Hoja ya nyerere in ukakasi mkubwa Sana ko Kama mtu wa kabila kubwa anakidhi vigezo vya uraisi aondolewe kwasababu ya kabila lake