Mwalimu Nyerere aliona mbali madhara kuruhusu kabila kubwa kushika madaraka ya Urais

Hapa umeongea ukweli mtupu.
 
Tengeneza katiba nzuri tuache kubahatisha
 
Lakini historia inaonyesha Koo fulani au ukabila flani ndo zimebarikiwa kutawala,
Wakriso na waislam mmenielewa

hii ya kusema ukabila flani ni myth,' iliyotokana na inferiority complex ya watawala wa mwanzo,

ambayo haija fully utilize uwezo mkubwa wa hayo makabila katika kuingiza mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi,

Unajua hata wasomi na wanasiasa top tunao waona leo walibebwa na mfumo wa kuwanyima fursa makabila flani, Ili kubalance au.kuwapunguza nguvu

Mfano; ukimsikiliza Membe na ukimsikiliza Ulimwengu utagundia tofauti kubwa mno.
 
Tatizo la nchi yetu ni kuwapa urais watu wasio na maono, watu wenye akili za ngoma za kienyeji, hii inatugharimu sana.
 
We jamaa ni mtu wa ajabu sana.Unaacha kuzungumza changamoto tunazokumbana nazo wakati huu wa awamu ya sita kama tozo,ukosefu wa umeme wa uhakika,maji ya uhakika unakesha kuzungumzia mambo ambayo yamepita? matokeo utakuja kutuambia suala la mgao wa maji na umeme tozo zimesababishwa na awamu ya tan😡NA AIBU BASI
 
Aisee mpaka leo sijajua sababu ilikuwa nini.
Wasuka wakija dukani kwako,omba mmoja anunue,wote watanunua hichohicho,rangi huyohuyo,na siku nyingine watakuja wengine kwako kununua kilekile,waarabu wanawajua vizuri,wakija wanawapa kwanza chai ya maziwa au coca,wanapga nao story kwa kisukuma,hapo watanunua vitu hata vya laki na zaidi,na watawaambia wenzao
 
Wasukuma wote tunaamini alikuwa ni msukuma hata particular zake amekuwa akiandika yy ni Msukuma siasa za kishenzi pelekeni kaskazini
Msukuma si mshenzi kama sliyeua watu na tabia za ukatili, choyo, wivu, kujipendelea kwao, ukabila wa kupindukia.
Tuekeze unakotika, huko mpakani na majirani zetu.
 
Nyerere alikosea sana hapo.
Watu wapewe madaraka kwa uwezo wao siyo makabila yao.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…wale jamaa haya wasome waende ulaya ushamba unabaki palepale.
 
Hata jiwe alipewa kwa uwezo factor iliyomwathiri ni ukabila.
Ukabila gani? Nendeni Kenya mkajifunze ukabila. Hii nchi ikiwa ya kikabila kila siku Rais angetoka kanda ya ziwa kwenye idadi wengi ya watu. JPM kafariki usikii mtaani wasukumu au watu wa kanda ya ziwa wakiongolea ukabila wala ukanda ambavyo ni viashiri vya ukabila. Wengi wame move on.
 
se
sema mmemuvu oni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…