Mwalimu Nyerere aliona mbali madhara kuruhusu kabila kubwa kushika madaraka ya Urais

Mkuu njoo na fact wachana na hizi porojo. Ukubwa wa kabila ni idadi yao na sio wako mikoa mingapi. Tafuta data za sensa toka NBS itatusaidia kujibu hili kwa usahihi zaidi.
 
Mkuu njoo na fact wachana na hizi porojo. Ukubwa wa kabila ni idadi yao na sio wako mikoa mingapi. Tafuta data za sensa toka NBS itatusaidia kujibu hili kwa usahihi zaidi.
we si utaje hizo idadi ulizotoa NBS? wachaga siyo wengi kuliko hata wamaasai. Tatizo alilozungumzia Nyerere ni ukabila.
 
Hivi kwa akili yao hawa unafikiria nchi hii Msukuma asiwe kwenye uongozi wakati amepiga shule vizuri na mchapakazi! Karibia robo ya watanzania wananasaba ya usukuma na unyamwezi unaweza kuwaepuka vipi?

Pengine tumjuze hata Kibatala, Mama yake ni Msukuma same as kwa Mnyika upande mmoja wapo wa Wazazi wake.
 
Alipewa mtu wa hovyo ndiyo maana watu wanachukia

Wanawachukia Wasukuma kwakuwa alipewa mtu wa hovyo kwa mtazamo wako? Mbona unamshangilia hapa Kibatala,si umchukie na yeye!
 
Na wakafanikiwa kumfanya mwendazake kuwa mungu wao.

Na mpaka sasa hawaamini kadedi, wanaamini yuko bize anawaongoza malaika

Kabisa na anaewaongoza kuamini hivyo ni Kibatala.
 
Mkuu njoo na fact wachana na hizi porojo. Ukubwa wa kabila ni idadi yao na sio wako mikoa mingapi. Tafuta data za sensa toka NBS itatusaidia kujibu hili kwa usahihi zaidi.
Umemfanya akaimbie jamvi
 
Mlio na vi degree vya hapa na pale mna mbwembwe sana.
 
Nyerere has gone with his views, we better focus on howa we can bring back the electricity and sufficient clean and safe water.Don't try to pull off the comprehensive agenda. Water and Electricity
 
Huyo hayati mwenyewe hata sio msukuma na wala baba yake halisi sio Joseph Pombe

Baba yake alimsusa toka akiwa tumboni kwa sababu ya uchawi wa mama yake ndio maana alikuwa anabehave namna ile

Kwani mimi ndio nilileta tetemeko bukoba
 
SHIMBONI SHAFOOO!

Wanawaza hela tu, no productivity, no services, kazi kunywa konyagi na kubuni mbinu za kukwapua maokoto.

Mimi hata nikimkuta Mangi anauza kitu sinunui, najua ataongeza bei mara tatu huku anakuchanganya na maneno mingi!

Sijui wana laana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…