Mwalimu Nyerere anaishi katika sura ya Magufuli

Nyerere hakuwa fisadi,mbaguzi, muongo,roho mbaya, mlipa visasi,katili,kigeugeu,mkurupukaji,mleta utengano,mtia hasara taifa,alikuwa mzalendo wa vitendo sio maneno alikuwa na hekima na busara,aliwapenda wote bila ubaguzi,akujilimbikizia mali.
Asante,

Ni rahisi na wazi kuona kwamba hakuna uwiano wa kumfananisha Magufuli na Nyerere.

Kuna siku Nyerere alipigwa stop na Mwanasheria Mkuu wake, Joseph Warioba. Warioba akamwambia hapo mwalimu tutavunja sheria halafu itakuwa si vizuri.

Ikabidi Nyerere akubali.

Justice Francis Nyalali mara kibao kamsomesha Nyerere mambo ya sheria katikachecks and balances, kwa uhuru wake wote.

Leo AG anaweza kumpiga stop Magufuli? Kama hajatenguliwa siku hiyo hiyo.

Kuna mtu anaitwa Lawrence Mafuru, alikuwa Hazina, Registrar.

Jamaa ni bongela banker, internationally recognized mpaka London Charter of Bankers wanamuelewa na ana credentials zao.

Magufuli alivyotaka kuanza kuingilia kiholela mifumoya banking, jamaa akamsomesha, akamwambia utaharibu sana mzungukowa fedha, mambo haya tufanye hivi na vile.

Weeeeee. magufuli akamtumbua, nafikirikw agia ya "kupangiwa kazi nyingine", mpaka leo sijamsikia.

Sasa jitu gubegube lisilosikia la muazini wala mchota maji msikitini etiu unalisifia.

Kwa lipi?
 
comparison yake IDD Amin,Sani Abacha,Mobutu and the like
 
Aise wewe jamaa una mdomo mchafu sana. Je, upo na family!? Nataka nijue namna ya kujadiliana na wewe huenda stress au psychological problem linakusumbua nikusaidie. Nipo tayari kukusaidia bure kabisa wewe jibu swali langu tu.

Let's talk mdomo mchafu.

Mdomo mchafu wangu hauuzidi wa Magufuli.

Na afadhali mimi hata kama nina mdomo mchafu, sijagombea urais.

Magufuli ana mdomo mchafu halafu katuwekea mdomo mchafu wake kwenye urais.

Hilo hujaliona? Hukemeimdomo mchafu wa Magufuli aliye na big impact.

Umeona mdomo mchafu wangu tu raia wa kawaida?
 
Ni sawa na kufananisha mbingu na ardhi.
 
Vipi ipo na family!? Nataka kujua kama upo na stress au psychological problem nikusaidie.
 

Nashukuru nduguzanguni Watanzania mmeona hili.

Nilisema hapa, Watanzania, hususan watu wa JF,watajua mbivu mbichi, juu chini, Kusina kaskazi, Waingereza na Wadachi, Wamakonde na Wamasai.

Asante kwa upevu huo wa mawazo.

Ujinga lazima tuukemee kwaakili na nguvu zote, maana kuna wengi wanajifunza hapa.

Ujinga ukiachiwa, unaweza kujenga ushawishi ukaonekana kama maarifa.
 
Vipi ipo na family!? Nataka kujua kama upo na stress au psychological problem nikusaidie.

Nipo na family unataka kama sina nikuoe? Situmii ******* mimi.

What do you want to do? Suck my dick? I don't do homos.

Don't you fucking bring my family into this you motherfucking diseased cunt.

Wewe mse.nge mshenzi unaelewa maana ya family?
 
wewe Ni msomi ?? Mungu hadhihakiwi ujue.
 

Mkuu,Nyerere wetu amekukosea nini? Ungetuambia japo tumuombee msamaha Baba yetu wa taifa mkuu,sio vizuri.​
 
Hapa Mkuu kiranga unatumia Logic sasa wasiwasi wangu mtoa mada ana uwezo wa kuelewa kweli
 
Hajuikwamba, kiumeni, kwa ustaarabu wa leo, hatufagilii habari z akupiga wanawake.
Hatufagiliihabari za kutumianguvu, tunatumia hoja.

THE WORLD MUST SEE THIS BIG UP KIRANGA
 
We jamaa bwana

wala rushwa. Mtu anayekemea rushwa na uharibifu wa mali za umma.

Watu wanakula rushwa sana mkuu
 
Acha kumfananisha Mwalimu na vitu vya ......
 

This is a blasphemy to Mwl Nyerere...

It's blasphemous and indeed unrespectful kumfananisha MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE na magufuli!
Rais wa kwanza aliongoza nchi katika kipindi kigumu sana. Tanzania tulibahatika kuwa na rais mwenye akili, busara, ustaarab, uvumilivu na alipendwa hata na maadui zake wa ndani na nje ya nchi. Ni sababu ya busara za Mwalimu ndio maana nchi yetu iliendelea kuwa relatively stable ingawa watu wake masikini. Nyerere alikuwa muungwana sana. Sioni kiongozi wa kumkaribia Nyerere hata kwa 1/200! Kwa kuwa Nyerere alikuwa na busara na maono, alikuwa akikubali makosa.
Aliwahi kusema Baba wa taifa kwamba katika utawala wake ni wazi kuna sehemu walifanya makosa. Akawashangaa na anawashangaa viongozi waliomfuata badala ya kuchukua mema na kuyaendeleza wanachukia ya kijinga...

Huwezi kumshusha Nyerere kiasi hicho kwa kumfananisha na viongozi wa sasa. Nyerere alikuwa kiongozi. Nadhani wa sasa ni watawala!!!
 
Mwalimu alisema azimio la arusha na hata katiba ya CCM imejengwa katika misingi ya utu. Hilo ndilo jambo la msingi sana kiongozi anaweza kupimwa nalo. Inashangaza leo hii;

Mtu kupotea, kutekwa, kufa na kuokotwa Coco Beach au kwingineko ni jambo la kawaida na kiongozi aseme kirahisi kabisa kuwa labda amekimbia hali magumu ya maisha.

Mtu apigwe risasi thelathini na nane bila hata mshukiwa mmoja kuhojiwa na vyombo vya dola na tukio lipite kiurahisi kabisa.

Naomba tumuache mwal. aendelee kupumzika pema peponi kuliko kutoa hoja potofu zinazoweza kumfanya ageuke geuke huko kaburi na kutuletea shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…