Mwalimu Sekondari ya Mwilibona awapiga wanafunzi 2 na kuwavimbisha mikono sababu ya kuchelewa kufika shuleni

Jinai ni nini?
Dini imeandikwa na watu kama mimi, the same applies to jinai imeandaliwa na watu kama mie.
Swala la walimu kuwa Failures ni mtazamo wako!
Kwani mwalimu ukifundisha na kuachana na kuadhibu watoto mshahara unapungua ama ni vipi?

Kuna mwalimu ni mshikaji wangu tangu aajiriwe hajui kumuadhibu mwanafunzi yeye anajali job descriptions yake na ni rafiki wa wanafunzi wengi anawazoa kwenye tuition haina kifani.

Siku zote ukiona mwalimu anapenda kutoa adhabu ujie kichwani ni empty hivyo anajificha kwenye ukali aogopwe ili kuficha ukilaz,a wake.
 
Nakubaliana na wewe.
 
Haitoi justification kuwapiga watoto na kuwaumiza kiasi hiko, kwani hakuna njia nyingine kama kuongea na wazazi?

Ametenda jinai.
Huwezi kumpiga mtoto kiasi hiko hadi sare za shule zinatapakaa damu kiasi hiko huo ni unyama.
 
Ukiwasikiliza vizuri hawa watoto kuna mahali utajua mambo hayako sawa. Hawana nidhamu kabisa. Ningekuwa mzazi wao ningewaongeza viboko vingine
 
Acheni Mihemko.
Shule ina wanafunzi 800 watoto 2 wahuni wanarekebishwa tabia mnatoa povu. Maaaaaniiiina zenu kama hamtaki shule pelekeni watoto wenu Madrasssa acheni kusumbua walimu.
Damu zimetokea wapi kama siyo uhuni wa kipuuzi ili kuhalalisha uhuni wa hivyo vitoto Vitukutu.
 
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Uko sahihi mkuu
 
Kuna shule za Seminari nazo ni mwendo wa vipigo na mateso kwa wanafunzi kwa vigezo vya kusaka div one pekee.


Makanisa yanafunika uovu na unyama unaotendwa dhidi ya wanafunzi

CC: Dkt. Gwajima D
Kwanza from the beginning huwezi kwenda seminary kama ni kilaza na uwezi kuitimu kama ni kilaza.Seminary wako tayali kufuta darasa zima kama ata nidhamu za wanafunzi ni mbovu.
 
Mwalimu wetu kijana baada ya kubabaishwa na wanafunzi wenye vifua,na masister do,alikuja siku moja akatoa TAMKO class kwamba.

Nyie madogo,kila mtu anajua kaja kufata nini hapa shule,sijui umeletwa usome au uje ukue mimi hainihusu,ninachotaka kusema ni hiviii,kama hujisikii kuingia somo langu au nakukera nikija kufundisha,nikiwa naingia tupatane mlangoni ukitoka.nikimaliza rudi uendelee na usela wako humu darasani.

Sikumbuki kama kuna mwanafunzi aliwahi kutoka😁😁,ni jambo gumu sana kulea vijana walio kipindi cha balehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…