mtaa umetulea
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 1,840
- 2,381
Kumbe ww ndio li musiba unajificha kwa kivuli cha Veronica
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma bandiko vizuri halafu uelewe concept.Ukaguzi ni muhimu,ila ufuatiliwe na hatua madhubuti,hapo ndio ukaguzi utakuwa na maana.Ilivyo sasa, it's useless,wastage of time and resources.Baseline:Kwa jinsi mambo yalivyo sasa,where no action is taken anyway,Magufuli is better,because we can see tangible results.Kwa kuwa tunaibiwa na imekuwa ni jambo lililozoeleka, kwa maelezo iako, kwa hiyo hakuna haja ya ukaguzi? Tufunge ofisi ya CAG? Kwa kuwa mmezoea kuibiwa kwa hiyo tuwaachie waendelee kuiba tu na wasikaguliwe wala wasibughuziwe? Maajabu ya kutisha. Hivi bado tuna Watanzania wana mawazo ya ajabu kiasi hiki?
Soma bandiko vizuri utaelewa theme yake,umedandia.Ukaguzi ni muhimu,ila ufuatiliwe na hatua madhubuti,hapo ndio ukaguzi utakuwa na maana.Ilivyo sasa, it's useless,wastage of time and resources.Baseline:Kwa jinsi mambo yalivyo sasa,where no action is taken anyway,Magufuli is better,because we can see tangible results.So wizi ruksa ilimradi tu ufanye miradi kadhaa yenye kuridhisha!
Aisee itabidi iwekwe kwenye katiba kwamba ukitenda mema basi ruksa kuiba utakavyo!
Hizi akili za wapi?
Soma bandiko vizuri halafu uelewe concept.Ukaguzi ni muhimu,ila ufuatiliwe na hatua madhubuti,hapo ndio ukaguzi utakuwa na maana.Ilivyo sasa, it's useless,wastage of time and resources.Baseline:Kwa jinsi mambo yalivyo sasa,where no action is taken anyway,Magufuli is better,because we can see tangible results.Kwa kuwa tunaibiwa na imekuwa ni jambo lililozoeleka, kwa maelezo iako, kwa hiyo hakuna haja ya ukaguzi? Tufunge ofisi ya CAG? Kwa kuwa mmezoea kuibiwa kwa hiyo tuwaachie waendelee kuiba tu na wasikaguliwe wala wasibughuziwe? Maajabu ya kutisha. Hivi bado tuna Watanzania wana mawazo ya ajabu kiasi hiki?
Mkuu Watanzania walio wengi wanaangalia leo kala nini,kwa hiyo hawaoni zaidi ya urefu wa pua zao;hawajui mahitaji yao;hawajitambui and are egocentric.Hayo ndio matatizo makubwa.Ukimuambia mtanzania ajinyime kwa ajili ya a good outcome of the next only 20 years,hakuelewi.Inasikitisha sana.Ni watu wa leo leo,wakati people plan for even 1000yrs.Mi mkongo man but for those who hate Mr Magufuli daah nimeona watanzania wajinga sana hata wangeletewa chakula mchana na usiku bado wangelalamika chakula kidogo
Nakuunga mkono.Mimi ni mtanzania na nina haki ya kutoa mawazo yangu.Nimeridhika na wizi wa Magufuli,kwa kuwa hata kama kaiba,ila nimeona alichofanya,tena kikubwa.Wengine walishibisha matumbo yao,familia zao na kugawa bure mali za Watanzania kwa mabeberu.
Usiseme TUMEZOEA sema NIMEZOEA. usitusemee na sisi ambao hayujazoea majizi ya CCM
Nakusaidia tena kuelewa maana uelewa wako umekuwa mdogo.Yani unaongea kama umekurupushwa usingizini, wewe unataka kilakitu kinacho fanywa na serikali kimridhishe kilamtu??.
Watu kamawewe ndio jualikiwaka mnataka mvua, mvuaikinyesha mnatakajua
Kama unaona reli, barabara, na flyover hazisaidii kitu basi check your self.
Unajua tunaokoa kiasigani cha pesa kwakurahisisha usafiri katika majiji makubwa kama Dar es salaam??.
Unajua chanzo kikuu chamapato nikodi inayotokana na wafanya biashara ambao wengi wana connection na jiji la Dr.?
Ukokijijini kwako unakotaka papewekipaumbele mnachangi kiasigani kwenye pato la taifa.
Subiri turahisishe usafiri mijini ambopo ndio chanzo kikubwa cha mapato ambayo yana tumika kujenga zahanati unazoziona uko kijijinikwako pamoja na umeme unaouona kwenye nyumba za tembehukokwenu.
Pia ukiona watoto wenu wanasoma bure ujue pesa inatoka huku serikali inapo wekeza pesa kwa kurahisisha movement kwa walipakodi.
CAG kafanya kazi yake, tusubiri Bunge na vyombo vingine wafanye sehemu yao nao tuwasikie watasema nini kujibu hoja za CAG. Mbona ameanza kuhukumiwa mapema kabla hoja zake hazijajibiwa? Na ikionekana mwisho wa siku kuwa hoja zake zina mashiko utatuambia nini? Vuta subira.Soma bandiko vizuri halafu uelewe concept.Ukaguzi ni muhimu,ila ufuatiliwe na hatua madhubuti,hapo ndio ukaguzi utakuwa na maana.Ilivyo sasa, it's useless,wastage of time and resources.Baseline:Kwa jinsi mambo yalivyo sasa,where no action is taken anyway,Magufuli is better,because we can see tangible results.
Poor you! Hamna hata utu nyie wafuasi wa Ibilisi Jiwe na Jiwe mwenyewe alikosa utu wakati anaishi kwa betri tu. Ona sasa wenzake wamechomoa waya wa hiyo betri. Ukiwa na udhaifu wa kifafa pendana na wenzako watakuokota ukiangukaMmebaki na maneno ya hovyohovyo tu kamahivi.
Naona unatamani kujinyonga ukisikia miradi kama stigle PM akisema lazima ikamilike kwa wakati, na ndio maana ya zege hailali kama hamjui.
Fanyeni kazi mtakufa njaa nchi inaendelea kwa kupiga kazi sio majungumjungu na wivu wa kipuuzi shawishi jiranizako walipekodi kwa wakati tujengenchi.
Unaogopa nini kutaja kama yupo huyo beberu?Wako wengi,sina haja ya kuwataja.Ila la msingi ni kujitambua ili in evey area of business tuwe na a win win situation.Na hii itatulazimu kubadili sheria zetu.
Kwa nini nitaje moja na yako wengi?Makampuni ya mabeberu machache in Tanzania.Unaogopa nini kutaja kama yupo huyo beberu?
Tuvute subira miaka yote,no people must be serious,hakuna seriousness.CAG kafanya kazi yake, tusubiri Bunge na vyombo vingine wafanye sehemu yao nao tuwasikie watasema nini kujibu hoja za CAG. Mbona ameanza kuhukumiwa mapema kabla hoja zake hazijajibiwa? Na ikionekana mwisho wa siku kuwa hoja zake zina mashiko utatuambia nini? Vuta subira.