Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Heheh, kuna Uzi mwingine upo kama huu, mmeamua kususa wazee wa Chatu joka kuu. Mkisusa sisi twala. Mlizoea vya kunyonga sasa kuwinda hamuwezi 😃 shenzi zenu. Mlikuwa malaika sisi tukawa mashetani, sasa nanyi ni zamu yenu tena mtulie kabisaaaaaa maana nasi tulikaa kimyaaa mkafanya maushenzi yenu tulikuwa tunawaangalia tu. Sasa mtulie otherwise mrudi mkavue samaki, sangara bado wapo sio lazima mkae mjini.