mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Wewe ndo mjinga unayetakiwa kutumia hata akili kidogo uliyonayo ya Darasa la 7 kujua kwa nini CAG hakupitia kabisa Taasisi unazotaja. CAG Kichere akiteuliwa na Magufuli baada ya kumtumbua Professor kwa kufanya kazi yake kwa weledi na haki na kazi ya Ripoti ya Kichere alifanywa kabla Mwendazake hajaenda, Ripoti ikaandikwa, ikachapwa na kubind Marehemu akiwa bado typo na alikuwa akabidhiwe yeye sote tunajua nini kingetokea kwa CAG. Ofisi ya Makamu ni Ofisi ya Rais na iko Ikulu na Wizara ya Fedha Mpwa wa Rais alikuwa anaongoza Wizara kwa hiyo kama Covid-19 ingechelewa kidogo tu kufanya kazi yake, CAG Kichere angekuwa tayari ameungana na Professor. Kama Kichere angejua kuwa mashine za kujifukiza hazisaidii kumlinda hata mtaalamu wa nyungu, asingehariri Ripoti na angemwaga madudu yote aliyoyakuta huko alikokagua.
tulia umsome mleta mada kwa utulivu,wacha wenge.
kwahiyo hata kipindi cha JPM ni kipi kilifanya akose taarifa za wizara ya fedha,ila akapewa za bwawa la umeme ambazo mwenzake alinyimwa!!!!
siasa chafu hizi hazitamsaidia mtu,wala hazina faida kwa taifa hili zaidi mnawavuruga wananchi.