Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

Wewe ndo mjinga unayetakiwa kutumia hata akili kidogo uliyonayo ya Darasa la 7 kujua kwa nini CAG hakupitia kabisa Taasisi unazotaja. CAG Kichere akiteuliwa na Magufuli baada ya kumtumbua Professor kwa kufanya kazi yake kwa weledi na haki na kazi ya Ripoti ya Kichere alifanywa kabla Mwendazake hajaenda, Ripoti ikaandikwa, ikachapwa na kubind Marehemu akiwa bado typo na alikuwa akabidhiwe yeye sote tunajua nini kingetokea kwa CAG. Ofisi ya Makamu ni Ofisi ya Rais na iko Ikulu na Wizara ya Fedha Mpwa wa Rais alikuwa anaongoza Wizara kwa hiyo kama Covid-19 ingechelewa kidogo tu kufanya kazi yake, CAG Kichere angekuwa tayari ameungana na Professor. Kama Kichere angejua kuwa mashine za kujifukiza hazisaidii kumlinda hata mtaalamu wa nyungu, asingehariri Ripoti na angemwaga madudu yote aliyoyakuta huko alikokagua.

tulia umsome mleta mada kwa utulivu,wacha wenge.

kwahiyo hata kipindi cha JPM ni kipi kilifanya akose taarifa za wizara ya fedha,ila akapewa za bwawa la umeme ambazo mwenzake alinyimwa!!!!

siasa chafu hizi hazitamsaidia mtu,wala hazina faida kwa taifa hili zaidi mnawavuruga wananchi.
 
- Magufuli kaongeza mishahara na amewaacha vizuri kabisa hao watumishi
 
Kwa
Nimekuwa nikipitia tweet insta n.k nimestushwa sana na kebehi za JPM. Prof Muhongo amejidhalilisha....nashukuru Waziri mkuu amemjibu vzr. Hivi tumesahau jpm alikuta chungu cha serikali hakina kitu mishahara ililipwa kupitia mikopo ya commercial benk, umeme ulikuwa mgao kila siku ili watu wauze majenereta yao. Meli ya bukoba ilikufa. Nchi ilikuwa chocho la madawa ya malevya....jpm kakomesha.
Na mengine mengi....CAG anasema stand ya mbezi italeta foleni is it true wakati kuna vivuko vinajengwa, round abt inamalizwa....harafu watu anasahau auditor huwa hakosi cha kuandika. Lakini me naona miradi inavyoendaaa....

Watz tupunguze chuki najua mzee alimubana kila mtu lakini kwa tija ya nchi.
viwango vya wajinga alifanya mazuri ila wenye akili alivurunda vibaya sana.
 
Hilo la malaika kumuweka upande gani, sisi halituhusu.
Sifieni sifa mamilion, lakini upande wake wajulikana,
Pia pondeni Mara milion milion ,
Bado upande wake wajulikana.
Yupo na misukule wengine ghamboshi.
 
1.Je unajua amekopa shs ngapi? Watangulizi wake hawakuwa wanakopa kopa hela nyingi kama yeye.
2. Je unajua miradi mingi hiyo mnayo ita ya kimkakati bado hele zilozolipwa hadi sasa hazifiki nusu? Na mzigo umekata?
3. Je wajua elimu bure ilikuwa propaganda, fedha haziendi za kutosha hadi inabidi wazazi tuchangie? Au halmashauri zitumie mapato yake kuendesha shule?
4. Je wajua kuwa ndege hazikulipiwa fedha zote..bado kuna fedha zinadaiwa?
 
Wezi hawatakuelewa kabisa[emoji12]!
Ila Magu ni mwisho, yaani ukigeuka unakuta kitu Magu kafanya, ukigeuka huko unakuta Magu sha pita[emoji1787][emoji23][emoji1787]! Wanaomchukia Magu nawashauri wahame nchi, maana mazuri ya Magu yataendelea kupiga kelele zaidi ya miaka 100!
Magu kaonesha makubwa ambayo tunaweza fanya Tz bila kua tegemezi, saizi wacha wamshangilie mama akisaini mikataba, haitapita mwaka mtanza kumponda tena
 
Nijuacho mimi, wananchi wa Tanzania hawajuagi wanataka nini,kazi ya JPM waliiona,alipotwaliwa na MUNGU wameibuka viongozi na kutangaza mambo ambayo yanashangaza na hayaaminiki

Tulikua na jambo moja tu kama wananchi,kuwapinga hawa watu wenye viashiria vya kumponda JPM na hasa ningefanya maandamano ya amani kushinikiza CAG aondoke mamlakani.

Wasaliti wa hivi ndiyo wezi wenyewe wa mali za wananchi
 
Yule mzee alikuwa mwizi, na tapeli, alitaka kuhamishia miradi yote chayo.
Watu kama wewe mko kwenye makundi haya[emoji116]

1. Vyeti veki

2. Fisadi watumbuliwa

3. Wasaka pesa na sifa za mamlaka

4. Wakaskazini wenye chuki na wivu na sifa kubwa ya kujenga kuchota pesa

5. Msio na upendo kwa watu.
 
WIZI wa Matokeo chanya ni watoto wa walipa kodi, kokosa madara na kukakaa chini..
Mna laana nyie MaCCM sio bure.

laana mnayo nyinyi mlioiba mkasahau hata kuna wenzenu nao wamezaliwa nchi hii wanafaa kuishi,mkawa mnataka kuuza mpaka mikoa.

Mungu kamwinua jpm kama fimbo ya Musa,kiongozi yeyote atakayitizama ataiepusha nchi hii na machafuko,ole wake atakayekaza shingo.

bi samia amejua hilo,wachumia hamwelewi saa hizi mnashika tawi gani maisha yaendelee.
 
Wezi hawatakuelewa kabisa[emoji12]!
Ila Magu ni mwisho, yaani ukigeuka unakuta kitu Magu kafanya, ukigeuka huko unakuta Magu sha pita[emoji1787][emoji23][emoji1787]! Wanaomchukia Magu nawashauri wahame nchi, maana mazuri ya Magu yataendelea kupiga kelele zaidi ya miaka 100!
Hadi nje ya nchi mfano ni Magu wazunu hawalalo wanamuota Magu mzee wa kuzuia covid sasa leo ameondoka ngoja sasa mbowe ndio huyo wameshamchoma subirini kama neema ya Mungu ikiwakosa sijui itakuaje
 
Back
Top Bottom