Ushauri kwa vijana wezangu
Jump to newIgnoreWatch
[IMG alt="Ngaliwe"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/346/346524.jpg?1617963773[/IMG]
Member
Kwa wiki sasa naona trend ya namna mijadala inavyoendelea kwenye mitandao na vikundi vya WhatsApp vimenifanya nifikirie sana na nimeona nitoe mchango wangu kidogo tu ili kujitahadharisha na kuwahatadharisha wenzangu wasiingie kucheza kwenye ngoma wasiyoijua vizuri kama ni ngoma ya jando au ya kumtoa mwali.
Kwa namna mijadala inavyokwenda tunatengenezewa bila ya kujijua mpasuko. Mpasuko wa kuona yaliyofanywa na Mhe. Hayati JPM hayakuwa na maana yoyote kabisa. HILI SI SAWA, na mpasuko mwingine ni kutaka kutuaminisha kwamba awamu zilizopita ni kama maadui na ni watu wa kuwa nao makini sana na kuwa nao mbali kabisa, HILI NI BAYA na pia kututengenezea taswira kama Rais wa sasa Mama yetu Samia kama alikuwa hakubaliani na mambo yalivyokuwa yanakwenda akiwa VP, HII SI SAHIHI KABISA.
Hii mipasuko imeibua watetezi wake, imeibua watukanaji wake, na imeibua kundi jingine linaloangalia mwisho wa haya ni paleee na siyo kwema sana.
Mara nyingi nimekuwa nikizungumzia namna ya kulinda ulimi wako katika maeneo matatu, ukiwa na furaha sana, ukiwa na hasira sana na tatu ukiwa huna na hujui cha kusema basi kuwa makini na ulimi wako.
Namna tunavyokwenda tunapelekwa kwenye mpasuko mkubwa sana, tunaenda kupelekwa kwenye mpasuko utakaopelekea mpasuko huu kuingia mpaka ndani ya Chama. Nimekuwa msomaji mzuri sana wa maandiko mbalimbali yanayoendelea na kuona kabisa wapi tunalazimishwa kupelekwa. Mbaya zaidi wapo wenzetu hawajui hilo ila wapo kwenye ushabiki mkubwa sana bila ya kujua wanatumika kutufikisha pabaya.
Nina hofu kutengenezwa kwa chuki dhidi ya kabila fulani, hii ni hatari sana, nina hofu kutengenezwa chuki kwa ukanda fulani hofu inazidi lakini tukiwa hatupo makini inaweza kuhamia kwenye dini fulani pia. Kama nia yetu ni kumsaidia Mhe. Rais ili amalize na kuendelea na ujenzi wa miradi na mambo makubwa kwenye Nchi basi tunapaswa kukemea kila aina ya ujumbe utakaoweza kusababisha mpasuko.
Mpasuko hautatupa faraja, mpasuko hautatupa umoja bali utatuvuruga sana.
Niwaombe sana sana tukemee kila aina ya jambo ambalo tutaliona halina faida kwa Nchi. Viongozi wa Vikundi vya WhatsApp kemeeni na futeni kila aina ya ujumbe unaotaka kutugawa kama Taifa.
Mwisho, lipo kundi sasahivi lipo kwenye hope mood ambalo limetulia linasikilizia nalo je watakuwemo Serikalini? Watapata uteuzi? Hawa nao tutegemee baadae kuona mambo tusiyoyategemea ikiwa hawatoonekana kwenye teuzi mbalimbali.
Hapa nataka niwape ushauri. Tusitegemee vitu ambavyo vinapangwa na Binadam, tusiwe na tamaa sana na kuna baadhi wanasema kabisa kama sasa ni zamu yetu, zamu yenu kutoka wapi? Zamu yenu na nani? na hawa wa zamu yetu ni watu hatari sana maana wanageuka mara moja wakiona hawamo na maslahi yao hayapo. Ushauri wangu kwa vijana tuwe watulivu, tuna umri mrefu wa kulitumikia Taifa. Usije kununa ukiona malengo yako hayajaenda sawa na malengo ya M/Mungu.
Tena nashauri sana ni vyema kuwa kwenye jeshi la akiba kulinda kambi kuliko kuwa kwenye mstari wa mbele vitani. Hivyo nawasihi sana tuendako huko tuwe na UTULIVU na tuwe tayari kusaidia Nchi popote pale utakapokuwepo.
Tusimame kujenga umoja wetu na siyo kusimama kujenga mpasuko baina yetu
ASANTE JOHN
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Shadow7"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/610/610750.jpg?1615390117[/IMG]
JF-Expert Member
Nyuzi nyingi dhumuni moja why?
Thanks Quote Reply
Report
R
wilcoxon and Mkaruka
[IMG alt="Invigilator"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/381/381255.jpg?1574922232[/IMG]
JF-Expert Member
Hizi hela alizokuwa anagawa mabarabarani zilipitishwa na nani kwa kazi hii? nisaidie kwanza ndipo tujadili.
Thanks Quote Reply
Report
R
kawombe
V
JF-Expert Member
Ngaliwe said:
Kwa wiki sasa naona trend ya namna mijadala inavyoendelea kwenye mitandao na vikundi vya WhatsApp vimenifanya nifikirie sana na nimeona nitoe mchango wangu kidogo tu ili kujitahadharisha na kuwahatadharisha wenzangu wasiingie kucheza kwenye ngoma wasiyoijua vizuri kama ni ngoma ya jando au ya kumtoa mwali.
Kwa namna mijadala inavyokwenda tunatengenezewa bila ya kujijua mpasuko. Mpasuko wa kuona yaliyofanywa na Mhe. Hayati JPM hayakuwa na maana yoyote kabisa. HILI SI SAWA, na mpasuko mwingine ni kutaka kutuaminisha kwamba awamu zilizopita ni kama maadui na ni watu wa kuwa nao makini sana na kuwa nao mbali kabisa, HILI NI BAYA na pia kututengenezea taswira kama Rais wa sasa Mama yetu Samia kama alikuwa hakubaliani na mambo yalivyokuwa yanakwenda akiwa VP, HII SI SAHIHI KABISA. Hii mipasuko imeibua watetezi wake, imeibua watukanaji wake, na imeibua kundi jingine linaloangalia mwisho wa haya ni paleee na siyo kwema sana.
Mara nyingi nimekuwa nikizungumzia namna ya kulinda ulimi wako katika maeneo matatu, ukiwa na furaha sana, ukiwa na hasira sana na tatu ukiwa huna na hujui cha kusema basi kuwa makini na ulimi wako.
Namna tunavyokwenda tunapelekwa kwenye mpasuko mkubwa sana, tunaenda kupelekwa kwenye mpasuko utakaopelekea mpasuko huu kuingia mpaka ndani ya Chama. Nimekuwa msomaji mzuri sana wa maandiko mbalimbali yanayoendelea na kuona kabisa wapi tunalazimishwa kupelekwa. Mbaya zaidi wapo wenzetu hawajui hilo ila wapo kwenye ushabiki mkubwa sana bila ya kujua wanatumika kutufikisha pabaya.
Nina hofu kutengenezwa kwa chuki dhidi ya kabila fulani, hii ni hatari sana, nina hofu kutengenezwa chuki kwa ukanda fulani hofu inazidi lakini tukiwa hatupo makini inaweza kuhamia kwenye dini fulani pia. Kama nia yetu ni kumsaidia Mhe. Rais ili amalize na kuendelea na ujenzi wa miradi na mambo makubwa kwenye Nchi basi tunapaswa kukemea kila aina ya ujumbe utakaoweza kusababisha mpasuko.
Mpasuko hautatupa faraja, mpasuko hautatupa umoja bali utatuvuruga sana.
Niwaombe sana sana tukemee kila aina ya jambo ambalo tutaliona halina faida kwa Nchi. Viongozi wa Vikundi vya WhatsApp kemeeni na futeni kila aina ya ujumbe unaotaka kutugawa kama Taifa.
Mwisho, lipo kundi sasahivi lipo kwenye hope mood ambalo limetulia linasikilizia nalo je watakuwemo Serikalini? Watapata uteuzi? Hawa nao tutegemee baadae kuona mambo tusiyoyategemea ikiwa hawatoonekana kwenye teuzi mbalimbali.
Hapa nataka niwape ushauri. Tusitegemee vitu ambavyo vinapangwa na Binadam, tusiwe na tamaa sana na kuna baadhi wanasema kabisa kama sasa ni zamu yetu, zamu yenu kutoka wapi? Zamu yenu na nani? na hawa wa zamu yetu ni watu hatari sana maana wanageuka mara moja wakiona hawamo na maslahi yao hayapo. Ushauri wangu kwa vijana tuwe watulivu, tuna umri mrefu wa kulitumikia Taifa. Usije kununa ukiona malengo yako hayajaenda sawa na malengo ya M/Mungu.
Tena nashauri sana ni vyema kuwa kwenye jeshi la akiba kulinda kambi kuliko kuwa kwenye mstari wa mbele vitani. Hivyo nawasihi sana tuendako huko tuwe na UTULIVU na tuwe tayari kusaidia Nchi popote pale utakapokuwepo.
Tusimame kujenga umoja wetu na siyo kusimama kujenga mpasuko baina yetu
ASANTE JOHN
Click to expand...
Haya yote yamepaliliwa na kuwekewa mbolea na kumwagiliwa maji yakutosha kipindi tulichokimaliza kabla ya awamu tuliyonayo,hivyo watamanio mkwamo ni waliokuwa wanufaika zaidi,ya wenye matarajio mapya ya mabadiliko ya njia mbaya tuliyoichagua awali.Hivyo ni imani yangu kuwa wanaolitakia mema taifa letu ni zaidi ya wanaotuombea mabaya.
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Edward Sambai"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/182/182897.jpg?1617347871[/IMG]
JF-Expert Member
Nani alikuambia eti ukipanda mchicha unaweza vuna mahindi?
Mwendazake mliwabagua watu wazi wazi, wapinzani walionekana kama sio raiya wa nchi hii, Tundu Lissu alipopigwa risasi mchana kweupe mliona kama ni kuku na sio binadamu hivyo hamkujali.
Nyerere alisema Dhambi ya Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu, ukishaitenda hii Dhambi lazima ikufuate mpaka nyumbani kwako.
Kingine hili taifa ni Mungu ndio analilinda hivyo usiwe na wasiwasi eti ccm ikisambaratika hili taifa nalo litasambaratika. Naomba nikutie moyo kuwa kwa sasa Mungu analiangalia taifa lake Tanzania hivyo tunapaswa kufanya maombi ya shukrani kwa kila badiliko analolifanya kwa nchi hii.
Mwana ccm ni ngumu kujua ni kiasi gani cha maumivu waliyoyapata watu wasio wanaccm Hususani viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani kipindi cha Mwendazake.
Watu wameumizwa, watu Wamelia pasipo kumsikiliza ila siku zote chozi la mnyonge aliendi bure.
Ngoja nikupe mfano mdogo,mwaka jana 2020 tulikuwa na uchaguzi mkuu na toka zoezi la uchukuaji form na hadi kuridisha form mpaka kampein na siku ya upigaji kura na mpaka kutangaza Matokeo mgombea kupitia upinzani hakuna rangi aliacha kuona.
Thanks Quote Reply
Report
R
OKW BOBAN SUNZU
[IMG alt="OKW BOBAN SUNZU"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/52/52569.jpg?1542566120[/IMG]
JF-Expert Member
Mtu aliyetamka hadharani hatapeleka maendeleo kwa majimbo ya upinzani, anapataje watu wa kumtetea? eti mpasuko! acheni watu watoe sumu ili utafutwe muafaka wa kuwaunganisha
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Ngungenge"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/369/369784.jpg?1471769397[/IMG]
JF-Expert Member
Muombeni Mungu msamaha Magufuli kaitendea zambi nchi hiii
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Ngungenge"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/369/369784.jpg?1471769397[/IMG]
JF-Expert Member
Wanao muunga mkono Samia hawataki ya magufuli yajirudie
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="The Palm Tree"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/136/136125.jpg?1602605944[/IMG]
JF-Expert Member
Ngaliwe said:
Kwa wiki sasa naona trend ya namna mijadala inavyoendelea kwenye mitandao na vikundi vya WhatsApp vimenifanya nifikirie sana na nimeona nitoe mchango wangu kidogo tu ili kujitahadharisha na kuwahatadharisha wenzangu wasiingie kucheza kwenye ngoma wasiyoijua vizuri kama ni ngoma ya jando au ya kumtoa mwali.
Kwa namna mijadala inavyokwenda tunatengenezewa bila ya kujijua mpasuko. Mpasuko wa kuona yaliyofanywa na Mhe. Hayati JPM hayakuwa na maana yoyote kabisa. HILI SI SAWA, na mpasuko mwingine ni kutaka kutuaminisha kwamba awamu zilizopita ni kama maadui na ni watu wa kuwa nao makini sana na kuwa nao mbali kabisa, HILI NI BAYA na pia kututengenezea taswira kama Rais wa sasa Mama yetu Samia kama alikuwa hakubaliani na mambo yalivyokuwa yanakwenda akiwa VP, HII SI SAHIHI KABISA. Hii mipasuko imeibua watetezi wake, imeibua watukanaji wake, na imeibua kundi jingine linaloangalia mwisho wa haya ni paleee na siyo kwema sana.
Mara nyingi nimekuwa nikizungumzia namna ya kulinda ulimi wako katika maeneo matatu, ukiwa na furaha sana, ukiwa na hasira sana na tatu ukiwa huna na hujui cha kusema basi kuwa makini na ulimi wako.
Namna tunavyokwenda tunapelekwa kwenye mpasuko mkubwa sana, tunaenda kupelekwa kwenye mpasuko utakaopelekea mpasuko huu kuingia mpaka ndani ya Chama. Nimekuwa msomaji mzuri sana wa maandiko mbalimbali yanayoendelea na kuona kabisa wapi tunalazimishwa kupelekwa. Mbaya zaidi wapo wenzetu hawajui hilo ila wapo kwenye ushabiki mkubwa sana bila ya kujua wanatumika kutufikisha pabaya.
Nina hofu kutengenezwa kwa chuki dhidi ya kabila fulani, hii ni hatari sana, nina hofu kutengenezwa chuki kwa ukanda fulani hofu inazidi lakini tukiwa hatupo makini inaweza kuhamia kwenye dini fulani pia. Kama nia yetu ni kumsaidia Mhe. Rais ili amalize na kuendelea na ujenzi wa miradi na mambo makubwa kwenye Nchi basi tunapaswa kukemea kila aina ya ujumbe utakaoweza kusababisha mpasuko.
Mpasuko hautatupa faraja, mpasuko hautatupa umoja bali utatuvuruga sana.
Niwaombe sana sana tukemee kila aina ya jambo ambalo tutaliona halina faida kwa Nchi. Viongozi wa Vikundi vya WhatsApp kemeeni na futeni kila aina ya ujumbe unaotaka kutugawa kama Taifa.
Mwisho, lipo kundi sasahivi lipo kwenye hope mood ambalo limetulia linasikilizia nalo je watakuwemo Serikalini? Watapata uteuzi? Hawa nao tutegemee baadae kuona mambo tusiyoyategemea ikiwa hawatoonekana kwenye teuzi mbalimbali.
Hapa nataka niwape ushauri. Tusitegemee vitu ambavyo vinapangwa na Binadam, tusiwe na tamaa sana na kuna baadhi wanasema kabisa kama sasa ni zamu yetu, zamu yenu kutoka wapi? Zamu yenu na nani? na hawa wa zamu yetu ni watu hatari sana maana wanageuka mara moja wakiona hawamo na maslahi yao hayapo. Ushauri wangu kwa vijana tuwe watulivu, tuna umri mrefu wa kulitumikia Taifa. Usije kununa ukiona malengo yako hayajaenda sawa na malengo ya M/Mungu.
Tena nashauri sana ni vyema kuwa kwenye jeshi la akiba kulinda kambi kuliko kuwa kwenye mstari wa mbele vitani. Hivyo nawasihi sana tuendako huko tuwe na UTULIVU na tuwe tayari kusaidia Nchi popote pale utakapokuwepo.
Tusimame kujenga umoja wetu na siyo kusimama kujenga mpasuko baina yetu
ASANTE JOHN
Click to expand...
Aisee, unahangaika sana Mzee...
Hizo hela za Doto James (mtoto wa dada) zikimkaukia tu, mtatoweka wenyewe hapa jukwaani...
Maana naona una "bank file" la post za kujaribu kumsafisha Mwendazake...
Ukimaliza kupost hii, unarudi tena na kuja na nyingine..
Pole sana. The Magufuli Chapter has been closed....
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="JET SALLI"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/262/262236.jpg?1443300054[/IMG]
Ni vizuri kuwa na akiba ya maneno,kuna wakati babu aliniambia hivi ukichukua bia ukaimiminia kwenye chupa ya soda halafu ukawaambia watu unakunywa bia hv watakuamini.
Lengo hapa ni kuitoa CCM madarakana na kuipumzisha tu ndio dawa pekee iliyobakia kwa TANZANIA hii hizi ngonjela nyingine za minyukano ya kusifu na kuponda viongozi wa CCM wakati tunajua CCM ilishaoza zamani hazina maana yoyote na hatuna cha kutarajia kutoka kwa viongozi wa CCM zaidi ya UFISADI na wizi wa mali za umma.
Tuungane watanzania tuipumzishe CCM na wala tusichezewe akili tukaanza kucheza ngoma ya CCM tutakwisha tusijaribu kabisa ni wakati wa kuweka mikakati madhubuti bila woga wala hofu.