Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

Soma bandiko vizuri halafu uelewe concept.Ukaguzi ni muhimu,ila ufuatiliwe na hatua madhubuti,hapo ndio ukaguzi utakuwa na maana.Ilivyo sasa, it's useless,wastage of time and resources.Baseline:Kwa jinsi mambo yalivyo sasa,where no action is taken anyway,Magufuli is better,because we can see tangible results.
 
So wizi ruksa ilimradi tu ufanye miradi kadhaa yenye kuridhisha!
Aisee itabidi iwekwe kwenye katiba kwamba ukitenda mema basi ruksa kuiba utakavyo!
Hizi akili za wapi?
Soma bandiko vizuri utaelewa theme yake,umedandia.Ukaguzi ni muhimu,ila ufuatiliwe na hatua madhubuti,hapo ndio ukaguzi utakuwa na maana.Ilivyo sasa, it's useless,wastage of time and resources.Baseline:Kwa jinsi mambo yalivyo sasa,where no action is taken anyway,Magufuli is better,because we can see tangible results.
 
Soma bandiko vizuri halafu uelewe concept.Ukaguzi ni muhimu,ila ufuatiliwe na hatua madhubuti,hapo ndio ukaguzi utakuwa na maana.Ilivyo sasa, it's useless,wastage of time and resources.Baseline:Kwa jinsi mambo yalivyo sasa,where no action is taken anyway,Magufuli is better,because we can see tangible results.
 
Mi mkongo man but for those who hate Mr Magufuli daah nimeona watanzania wajinga sana hata wangeletewa chakula mchana na usiku bado wangelalamika chakula kidogo
Mkuu Watanzania walio wengi wanaangalia leo kala nini,kwa hiyo hawaoni zaidi ya urefu wa pua zao;hawajui mahitaji yao;hawajitambui and are egocentric.Hayo ndio matatizo makubwa.Ukimuambia mtanzania ajinyime kwa ajili ya a good outcome of the next only 20 years,hakuelewi.Inasikitisha sana.Ni watu wa leo leo,wakati people plan for even 1000yrs.
 
Mimi ni mtanzania na nina haki ya kutoa mawazo yangu.Nimeridhika na wizi wa Magufuli,kwa kuwa hata kama kaiba,ila nimeona alichofanya,tena kikubwa.Wengine walishibisha matumbo yao,familia zao na kugawa bure mali za Watanzania kwa mabeberu.
Nakuunga mkono.
 
Mtu mzima ku copy taarifa ya kipuuzi kuja kuanzisha uzi ni ushamba, sema umezoea wewe usisemeee wengine, nani azoee ujinga
 
UZURI WAKE JPM ANABAKIA ON TOP OF ALL LEADERS HATA WAFANYAJE
 
Nakusaidia tena kuelewa maana uelewa wako umekuwa mdogo.
Hiyo miradi yote imetumia kodi za wananchi, mimi na wewe na wengineo. Miundo mbinu kama hiyo uliyotaja inapojengwa na hali za wananchi zisiwe katika hali duni au wasiishie kupata tabu ya kimaisha kwavile tu unafosi kujenga miundo mbinu.
Sekta binafsi zinakumbwa na ongezeko la kodi na huku maslahi ya waajiriwa wa serikalini wameshindwa kuongezewa mishahara na madaraja kisa tu unalenga kuijenga kwa upande wa miundo mbinu.

Pili lazima kuwe na uwazi kwenye miradi, mbona tuliona kipindi cha awamu zilizopita kulikuwa na ushirikishwaji wa bunge katika mambo mbali mbali ya kimiradi ya maendeleo. Lakini awamu ya Magufuli, maamuzi ni ya kwake mwenyewe, gharama za miradi ni yeye mwenyewe anasaini.

Kuhusu vijijini labda nikwambie tu ya kwamba mazao yote unayoyajua wewe yanalimwa vijijini. Kwahiyo vijijini ndiko kunakolisha nchi na pia ndiko kunakoingizia pato la nchi kwa biashara ya mazao.
 
Aisee tutafute pesa tupeleke watoto wetu wakasome kwenye shule nzuri wasiwe na uwezo finyu wa kufikiri kama mleta mada.
 
CAG kafanya kazi yake, tusubiri Bunge na vyombo vingine wafanye sehemu yao nao tuwasikie watasema nini kujibu hoja za CAG. Mbona ameanza kuhukumiwa mapema kabla hoja zake hazijajibiwa? Na ikionekana mwisho wa siku kuwa hoja zake zina mashiko utatuambia nini? Vuta subira.
 
Poor you! Hamna hata utu nyie wafuasi wa Ibilisi Jiwe na Jiwe mwenyewe alikosa utu wakati anaishi kwa betri tu. Ona sasa wenzake wamechomoa waya wa hiyo betri. Ukiwa na udhaifu wa kifafa pendana na wenzako watakuokota ukianguka
 
Wako wengi,sina haja ya kuwataja.Ila la msingi ni kujitambua ili in evey area of business tuwe na a win win situation.Na hii itatulazimu kubadili sheria zetu.
Unaogopa nini kutaja kama yupo huyo beberu?
 
Unaogopa nini kutaja kama yupo huyo beberu?
Kwa nini nitaje moja na yako wengi?Makampuni ya mabeberu machache in Tanzania.

👇


Bila kusahau mabeberu wakubwa kuliko wote IMF, World Bank,Makampuni ya Madini na hata Gas.
 
Tuvute subira miaka yote,no people must be serious,hakuna seriousness.
 
Nimekuwa nikipitia tweet insta n.k nimestushwa sana na kebehi za JPM. Prof Muhongo amejidhalilisha....nashukuru Waziri mkuu amemjibu vizuri.

Hivi tumesahau JPM alikuta chungu cha serikali hakina kitu mishahara ililipwa kupitia mikopo ya commercial benk, umeme ulikuwa mgao kila siku ili watu wauze majenereta yao. Meli ya bukoba ilikufa. Nchi ilikuwa chocho la madawa ya malevya....jpm kakomesha.

Na mengine mengi CAG anasema stand ya mbezi italeta foleni is it true wakati kuna vivuko vinajengwa, round abt inamalizwa....harafu watu anasahau auditor huwa hakosi cha kuandika. Lakini me naona miradi inavyoendaaa.

Watz tupunguze chuki najua mzee alimubana kila mtu lakini kwa tija ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…