Mwamposa ajenga hotel ya kisasa jijini Mbeya

Mwamposa ajenga hotel ya kisasa jijini Mbeya

Halafu mjinga mmoja anauliza eti waafrika tumerogwa na nani?

Yaani mtu hajui kwanini ana umasikini wa kutupwa hata 1m hana
 
Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.

Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.

View attachment 2463457

Source: Clouds Media
Hiyo jamii utapata huduma bure?
 
Hio hotel akitaka ijae aweke upako KILA mahali kuanzia chakula, kulala , swimming pool, viti, itajaa mwaka mzima na kupata booking itakusubiri miaka 5 ijayo ndo kupata nafasi.
KILA mtu lazima akalale hapo.
Kisa umasikini na ujinga!
 
sadaka ya kujimaliza,tutafute hela jamani angalia sasa kizazi chake kitaendelea kula matunda ya kazi yake,wanaotoa ya kujimaliza endeleeni kujimaliza
 
Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.

Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.

View attachment 2463457

Source: Clouds Media
Alipaswa ajenge shule na hospitali. Alafu kufungua ka-hoteli ako tu wamekuja wakuu wote wa Mbeya?!
 
Angewekeza Mbinguni ambako hakuna wezi wala kutu.

Kaburini unaenda na Sanda tu.

Ni heri Ngamia apenye katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuuona ufalme wa Mungu.
 
Nakuongezea na mengine wakati Waumini wake Umasikini ukizidi Kuwaandama Kununua Nyumba ya Rubani wa zamani wa Hayati Mwalimu Nyerere Kawe Beach Avocado jirani na Hotel ya Triple Seven kwa Tsh Bilioni 2, Kanunua Uwanja mkubwa Mbezi Beach Tangi Bovu ( New Corner Bar ) njia ya zamani ya kwenda Goba ambako huenda mwakani ( 2023 ) Mwezi April Kanisa lake likahamia huko kwa Tsh Bilioni 3, amejenga Kiwanda cha Chumvi huko Pwani Rufiji na pia ana Shamba Kubwa la Miwa huko Bagamoyo achilia mbali lile Kubwa la Korosho Mkoani Mtwara.
Jesus
 
Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.

Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.

View attachment 2463457

Source: Clouds Media
Kweli wajinga ndiyo waliwao!
 
Back
Top Bottom