Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Halafu mjinga mmoja anauliza eti waafrika tumerogwa na nani?
Yaani mtu hajui kwanini ana umasikini wa kutupwa hata 1m hana
Yaani mtu hajui kwanini ana umasikini wa kutupwa hata 1m hana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo jamii utapata huduma bure?Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.
Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.
View attachment 2463457
Source: Clouds Media
Kisa umasikini na ujinga!Hio hotel akitaka ijae aweke upako KILA mahali kuanzia chakula, kulala , swimming pool, viti, itajaa mwaka mzima na kupata booking itakusubiri miaka 5 ijayo ndo kupata nafasi.
KILA mtu lazima akalale hapo.
Alipaswa ajenge shule na hospitali. Alafu kufungua ka-hoteli ako tu wamekuja wakuu wote wa Mbeya?!Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.
Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.
View attachment 2463457
Source: Clouds Media
G7 ROYALE HOTELManeno mengi umeshindwa kuweka hata jina la hiyo hotel
JesusNakuongezea na mengine wakati Waumini wake Umasikini ukizidi Kuwaandama Kununua Nyumba ya Rubani wa zamani wa Hayati Mwalimu Nyerere Kawe Beach Avocado jirani na Hotel ya Triple Seven kwa Tsh Bilioni 2, Kanunua Uwanja mkubwa Mbezi Beach Tangi Bovu ( New Corner Bar ) njia ya zamani ya kwenda Goba ambako huenda mwakani ( 2023 ) Mwezi April Kanisa lake likahamia huko kwa Tsh Bilioni 3, amejenga Kiwanda cha Chumvi huko Pwani Rufiji na pia ana Shamba Kubwa la Miwa huko Bagamoyo achilia mbali lile Kubwa la Korosho Mkoani Mtwara.
😀😀😀😀😀Kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Maza Fanta Mwamposa..
Kweli wajinga ndiyo waliwao!Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.
Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.
View attachment 2463457
Source: Clouds Media
Bora angejenga shule inge make sense, hoteli!!!Nimehoji na mimi,eti kurudisha fadhila kwani watu wanalala bure
Sio kweliHotel ni huyo mtu mweupe,mwamposa ana share kidogo
Angewekeza Mbinguni ambako hakuna wezi wala kutu.
Kaburini unaenda na Sanda tu.
Ni heri Ngamia apenye katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuuona ufalme wa Mungu.