Mwamposa Buldoza anazo nguvu za kweli

Apostle kuna miujiza huku, nini kimetokea mkaka alikua hatembei miaka 30 baada ya maombi ameanza kutembea

Nawatakia maandalizi mema ya SabatoIla kwa anavyopigia debe sadaka nashindwas

Apostle kuna miujiza huku, nini kimetokea mkaka alikua hatembei miaka 30 baada ya maombi ameanza kutembea...
Ila kwa anavyopigia debe sadaka, anafanya nishindwe kumuamini😆
 
So kweli umesoma, hujaelewa
 
Wapumbavu tu ndo wanaenda si aende hospital wako serious ....Nilijua huna akili tu kufuata maigizo danganya wajinga wenzio wa huko kwenu
 
Sometimes Mungu aweza kukuponya kwa kukuonea huruma unavyosumbuka na makanisa.

Ref, mkuu wa mkoa aliyepigwa chini akakumbukwa majuzi, alikuwa anaimba kwaya huko huko kwa Mwamposa
No yule Ni mfuazi mzuri Sana wa mwamposa hata akipataga watot anakuja kwa mwamposa kushukuru

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ila kwa anavyopigia debe sadaka, anafanya nishindwe kumuamini😆
Hapo kwenye sadaka sasa, naweza kusema jamaa anazo nguvu kweli alizo zitafuta kwa kusali saaana, sasa anachokifanya ni kupiga hela kutokana na imani yake
 
Hapo kwenye sadaka sasa, naweza kusema jamaa anazo nguvu kweli alizo zitafuta kwa kusali saaana, sasa anachokifanya ni kupiga hela kutokana na imani yake
😆 Shida kaweka sadaka nyingi, Nadhani wachungaji wengi kama sio pesa za sadaka wasingekua wachungaji
 
Kamata mwamposa peleka muhimbi akiweza ondoa wagonjwa wote ICU basi ibada zake ni za kweli na Mungu wake anatenda
Siyo hvyo Babu imani haijaribiwi hvyo hata ktk bibilia hkn sehem tumeona mitume imekwrnda hospital kwenda kuwsponja watu

Usichokijuwa Ni kwamb hospitalini pia Kuna kuwa na section ya kwa ajili ya maombi madaktari bingwa wengi wanafanya Kaz hizo kwa Imani na kumtegemea mungu Zaid refer dkt been Carson bingwa wa upasuaji

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mimi hata kwa mwamposa sijawahi kufika, na hata wewe hakuna haja ya kwenda kwa buldoza kua na imani mambo yako yataenda
Bwana parakatumba mm binafs naendaga Sana kwa buldozer na Wala sijawai kujutia kwenda ingawa mm Ni mkkkt senior kbsa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…