Yule ni bomu aisee, sasa vipatikane vichwa vya maana tumechoka makabiji yaliyopo kwenye system.. hata nabii akituombea bado hatutatoboa kwa viazi waliopoMwigulu nchemba ana PhD anamsaada Gani kwenye nchi
Hiyo umesema wewe na sio haya mamlaka unayapata wapi au wewe ni Roho mtakatifuBasi wasisome biblia watamke unabii uandikwe uwekwe kwenye biblia , kinyume Cha hapo ni wachawi tu
Hakuna chawa hapa sikai dar wala sipajui kawe, but napenda energy yakeNaona Mwamposa amechomekeza chawa wake kila mahali
Nabii haitaji biblia , ni Mungu anaongea kupitia kinywa chake , tunaandika anayo ongea tunaweka kwenye kitabu nabii anapita zakeBiblia ni muongo usipotumia biblia kama reference we utakua sio mkristo
Mapepo 🤣🤣🤣misemo ya kike iyoDalili ya mapepo hayo..sio kila ugonjwa unatibika hospitali..wivu mbaya sana pole.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Unajua makanisa ya Sasa yameondoa uzuri wa wote wa ukristo chakwanza Mungu hajamleta mwanadamu Aishi kwa miujiza Bali kwa kutumia akiliYule ni bomu aisee, sasa vipatikane vichwa vya maana tumechoka makabiji yaliyopo kwenye system.. hata nabii akituombea bado hatutatoboa kwa viazi waliopo
Hakuna nabii aliwahi kusoma unabii wa nabii mwingine , wanakuja wanatamka yanaandikwa yanawekwa ndani ya kitabuHiyo umesema wewe na sio haya mamlaka unayapata wapi au wewe ni Roho mtakatifu
Endelea kuamin unachoamin na mim niendelee kuamin nachoamin tusichoshaneNabii haitaji biblia , ni Mungu anaongea kupitia kinywa chake , tunaandika anayo ongea tunaweka kwenye kitabu nabii anapita zake
Hivi umejibiwa hii mkuu?Kwanini Mkuu? Mshikaji wangu alipata matatizo tukampeleka kwa shekhe pale buguruni akasomewa dua na akapona kabisa maradhi yaliyompata, kwanini iliwezekana
bahati nzuri mi ni mtu wa reasoning poa huwa najiombea japo sa hivi nimelegea kodogoJiombee , Mungu anasikia kila mtu , geodevi Mzee wa kula pension za wamama
Ruka ruka ila hakuna nabii anasoma biblia , nabii anatamka unabii unaandikwaEndelea kuamin unachoamin na mim niendelee kuamin nachoamin tusichoshane
Yohana mwenye anasema waliyoandika kwenye injili kuhusu maisha ya YESU ni kitu kidogo sana kua mengi sana hayajaandikwa nani alikudanganya ni kila kitu kimeandikwa
Mfano daudi ametawala miaka unauhakika samweli wa kwanza na wapili wameandika kila kitu daudi alichokifanya miaka arobain
Uzuia anetawala yuda miaka 50 unauhakika biblia imeandika vitu vyote alivyofanya Uzia miaka 50 hapana wameandika kidogo sana
Kwa hiyo usipende kukariri vitu
We ni muongo na hujui biblia isaya akimwambia Hezekiah kwamba hekalu litabomolewa na watu watapekwa utumwani babeli, kitu hiko hiko yeremia anakuja kuwaambia yehokamu na sedekiaHakuna nabii aliwahi kusoma unabii wa nabii mwingine , wanakuja wanatamka yanaandikwa yanawekwa ndani ya kitabu
Weka ushahidi alisoma , au aliletewa unabii akatamka?We ni muongo na hujui biblia isaya akimwambia Hezekiah kwamba hekalu litabomolewa na watu watapekwa utumwani babeli, kitu hiko hiko yeremia anakuja kuwaambia yehokamu na sedekia
Nilichogundua hujui biblia ndo changamoto uliyokua nayo
Ulichokiongea ni kikubwa sana kuhusu story ya yusuph hasa, habari ya kusave utakuja wakati ambao tulichosave ndicho kitatusaidiaUnajua makanisa ya Sasa yameondoa uzuri wa wote wa ukristo chakwanza Mungu hajamleta mwanadamu Aishi kwa miujiza Bali kwa kutumia akili
Mfano yusuphu alivyotafsiri ndoto ya farao hakuhushia pale alipiga hesabu wawe wanaweka asilimia 20 kwa mda wa miaka Saba
Nabii hayuko kwa akili ya miujiza Yuko kuhakikisha akili yako inaingia kazini, Mungu lengo lake ni watu waishi kwa akili na sio miujiza
Anaruka ruka tu, hawezi jibuHivi umejibiwa hii mkuu?
Sio msomaji wa biblia ndo maana unataka ushahidiWeka ushahidi alisoma , au aliletewa unabii akatamka?
Samahani Mr umesoma Ub state?Propaganda hamn kitu kama icho milele hakiwezi kutokea
International pumba provider(IPP)
Kuna hesabu pale zilipigwa alafu ni nadra sana kukuta vinafundishwa kanisani hakukua na miujiza Bali watu waliumiza akiliUlichokiongea ni kikubwa sana kuhusu story ya yusuph hasa, habari ya kusave utakuja wakati ambao tulichosave ndicho kitatusaidia
Sasa uwe unasoma , nabii anatamkishwa na Mungu , anatamka unabii unaandikwa NDio unaona Kwenye biblia unabii kuanzia kina isaya ambae alitembea uchi mwaka mzima anatamka unabii unaandikwa na miaka 700 badae yesu amekuja kuusoma akasema umetimiaSio msomaji wa biblia ndo maana
yote yanawezekana mkuuSahih kbsa mm mwenye itabidi kesho niwai kwenda mnk Kuna maahli nimepeleka CV sas boss amekubali mm nipewe kazi Ila mtu aliye kabidhiwa anipe ajira naonna analeta chenga chenga sas ngoja niende kwa buldozer
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app