Man Rody
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,263
- 2,987
Yule ni bomu aisee, sasa vipatikane vichwa vya maana tumechoka makabiji yaliyopo kwenye system.. hata nabii akituombea bado hatutatoboa kwa viazi waliopoMwigulu nchemba ana PhD anamsaada Gani kwenye nchi