Mwamposa Buldoza anazo nguvu za kweli

Mwamposa Buldoza anazo nguvu za kweli

Yule ni bomu aisee, sasa vipatikane vichwa vya maana tumechoka makabiji yaliyopo kwenye system.. hata nabii akituombea bado hatutatoboa kwa viazi waliopo
Unajua makanisa ya Sasa yameondoa uzuri wa wote wa ukristo chakwanza Mungu hajamleta mwanadamu Aishi kwa miujiza Bali kwa kutumia akili

Mfano yusuphu alivyotafsiri ndoto ya farao hakuhushia pale alipiga hesabu wawe wanaweka asilimia 20 kwa mda wa miaka Saba

Nabii hayuko kwa akili ya miujiza Yuko kuhakikisha akili yako inaingia kazini, Mungu lengo lake ni watu waishi kwa akili na sio miujiza
 
Nabii haitaji biblia , ni Mungu anaongea kupitia kinywa chake , tunaandika anayo ongea tunaweka kwenye kitabu nabii anapita zake
Endelea kuamin unachoamin na mim niendelee kuamin nachoamin tusichoshane

Yohana mwenye anasema waliyoandika kwenye injili kuhusu maisha ya YESU ni kitu kidogo sana kua mengi sana hayajaandikwa nani alikudanganya ni kila kitu kimeandikwa

Mfano daudi ametawala miaka unauhakika samweli wa kwanza na wapili wameandika kila kitu daudi alichokifanya miaka arobain

Uzuia anetawala yuda miaka 50 unauhakika biblia imeandika vitu vyote alivyofanya Uzia miaka 50 hapana wameandika kidogo sana
Kwa hiyo usipende kukariri vitu
 
Ruka ruka ila hakuna nabii anasoma biblia , nabii anatamka unabii unaandikwa

Hao wengine ni wachawi na walozi na wabashiri
 
Hakuna nabii aliwahi kusoma unabii wa nabii mwingine , wanakuja wanatamka yanaandikwa yanawekwa ndani ya kitabu
We ni muongo na hujui biblia isaya akimwambia Hezekiah kwamba hekalu litabomolewa na watu watapekwa utumwani babeli, kitu hiko hiko yeremia anakuja kuwaambia yehokamu na sedekia

Mfano Musa alitabiri kuja kwa YESU na isaya akatabiri kuja kwa YESU na Malaki akatabiri kuja kwa YESU hao niwatu watu tofauti walitabiri kitu kinachofanana kwanyakati tofauti

Nilichogundua hujui biblia ndo changamoto uliyokua nayo
 
We ni muongo na hujui biblia isaya akimwambia Hezekiah kwamba hekalu litabomolewa na watu watapekwa utumwani babeli, kitu hiko hiko yeremia anakuja kuwaambia yehokamu na sedekia
Nilichogundua hujui biblia ndo changamoto uliyokua nayo
Weka ushahidi alisoma , au aliletewa unabii akatamka?
 
Unajua makanisa ya Sasa yameondoa uzuri wa wote wa ukristo chakwanza Mungu hajamleta mwanadamu Aishi kwa miujiza Bali kwa kutumia akili

Mfano yusuphu alivyotafsiri ndoto ya farao hakuhushia pale alipiga hesabu wawe wanaweka asilimia 20 kwa mda wa miaka Saba

Nabii hayuko kwa akili ya miujiza Yuko kuhakikisha akili yako inaingia kazini, Mungu lengo lake ni watu waishi kwa akili na sio miujiza
Ulichokiongea ni kikubwa sana kuhusu story ya yusuph hasa, habari ya kusave utakuja wakati ambao tulichosave ndicho kitatusaidia
 
Sio msomaji wa biblia ndo maana
Sasa uwe unasoma , nabii anatamkishwa na Mungu , anatamka unabii unaandikwa NDio unaona Kwenye biblia unabii kuanzia kina isaya ambae alitembea uchi mwaka mzima anatamka unabii unaandikwa na miaka 700 badae yesu amekuja kuusoma akasema umetimia

Sasa awa manabii wako feki wameandika wapi?
 
Sahih kbsa mm mwenye itabidi kesho niwai kwenda mnk Kuna maahli nimepeleka CV sas boss amekubali mm nipewe kazi Ila mtu aliye kabidhiwa anipe ajira naonna analeta chenga chenga sas ngoja niende kwa buldozer

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
yote yanawezekana mkuu
 
Back
Top Bottom