Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Analazimishaje watu waende upande fulani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umemaliza kila kitu, siongezi chochote. Ukiona mtu anatumia nguvu za shetani kupata ushindi halafu anajitokeza kutaja jina la Mungu ujue huyo ni shetani mbaya hata kuliko Lucifer mwenyewe. Nape amewahi kusema kuwa wao wanapindua matokeo halafu wanamuomba Mungu awasamehe. Je, huyu ni Mungu wa kweli au ni Mungu wa namna gani? Huyu bila shaka sio Mungu bali ni shetani wanayejaribu kumpaka rangi ya Mungu.Yupo sahihi kama PDiddy.
Usipoenda nyumbani kwa PDiddy hakufuati nyumbani kwako .
Ukimfuata PDiddy nyumbani kwake utapata mafuta ya kupakwa.
CCM ilishasema kuwa Ushindi kwao hautokani na Mungu.
Mungu apende asipende wao wanashinda kwa lazima .
Mungu ni mmoja tu mwenye mamlaka juu ya viumbe vyote .
Mungu anayetajwa kwenye vitabu vyote vya dini ni Mungu wa haki na anayechukukizwa na dhulma.
CCM imeshajipambanua kuwa wao hawana Mungu katika uchaguzi na kuthibitisha hayo kuanzia mwenyekiti wao mpaka Makada wao na viongozi wa idara zote wanakimbilia kwa waganga wa kichawi na machifu wa mila pamoja na watoa mafuta ya kimiujiza.
Ushindi wa CCM utategemea miujiza kama Mbowe na Zitto watakuwa sio mawakala wa CCM na Shetani kwa sababu waumini wote wa imani ya kiislam (wale ambao sio waumini wa matamko batili ya Makada waliojificha Bakwata) na wale wa Kikristo (ambao sio waumini wa Mafuta na maji na chumvi ) wote walisikia na kuona jinsi CCM walivyomdhalilisha na kumkejeli Mungu huku wakifurahia mauaji ya watu na kusema wazi kuwa Mungu hana uwezo wa kuwazuia kukalia madaraka apende asipende. Lakini pia Wakristo wa kweli na waislam wapenda haki kama Mtume Mohamad wamewaona jinsi wanavyoua watu kwa ajili ya kutoa makafara kwa miungu yao na mashetani na majini ili wa apate madaraka na kuogopwa na watu . Hata Mwamposa naye alitoa Kafara kule Kaskazini ili apate mvuto maeneo ya kaskazini ambyao kwa miaka mingi walikua na ulokole ule wa Kolola na sio wa mafuta, na usabato, ukatoliki, uislam wa haki na uluteri ule wa askofu Sebastiani Kolowa na Shoo.
Kwa hiyo ni wazi kuwa CCM na wafuasi wote wa Lucifer wanategemea nguvu isiyotoka kwa Mungu kushinda uchaguzi ujao na kukalia madaraka. Yote ni kwa sababu ya kuishi kwa dhulma na ubinafsi mkubwa ulioingia mpaka kwenye taasisi za dini . Watu hawashibi pesa na mali mpaka wanaingia kaburini. Utapeli, dhulma na wizi vinabarikiwa na shetani na CCM ndio maana wanaofanya hayo wanaipenda sana CCM.
Niwakumbushe wanachama wa CCM na waumini wa Mwamposa ambao wanaamini juu ya uwepo wa Mungu mwenye haki na anayewapa wanadamu mamlaka ya kutawala juu ya wengine kuwa ushindi wa CCM katika chaguzi zijazo ni ushindi wa Shetani Tanzania na atakayeshindwa sio Chadema wala ACT bali ni Mungu amekataliwa Tanzania na watanzania wenyewe kuanzia kwenye hiyo nyumba ya ibada ya Mwamposa. Ukiona kada mkubwa wa CCM anatoka hadharani na kusema jambo ujue limejadiliwa na kupangwa kwenye chama na Mwenyekiti wake na vyombo vyote vinavyohusika chini yake . Waliposema ushindi wa CCM hautegemei mapenzi ya Mungu bali ni Lazima hawakusema kama utani bali ndiyo makubaliano yao kama mawakala wa shetani Tanzania.
Waumini wa Mwamposa na watanzania wengine hamjui kinachoendelea ndani ya ulimwengu na Tanzania sasa yajayo yatawaliza usiku na mchana kama mtakosea mkamkataa Mungu kwenye kuchagua na mkawapa kura watu wenye kiburi cha uzima na madaraka mpaka wanatoa maneno ya kufru kuonyesha kuwa wao hawamhitaji Mungu kukaa madarakani kwenye nchi yenye watu zaidi ya 90 % wanaoamini uwepo wa Mungu wa Haki na ukuu wake juu ya Kila kitu ikiwemo watawala na rasilimali zote ameziumba yeye.
ile Video Clip ya machifu na wachawi wakuu (wanaojiita machifu wakikiuka mila na desturi na tamaduni za asili kwa kumfanya Mwenyekiti wa CCM ambaye ni mwanamke kuwa mkuu wa machifu wote wakati yeye sio mwafrika wa asili ya Afrika na katika makabila 127 ya Tanganyika na pia sio shujaa katika mambo ya mila na desturi za kiafrika na pia yeye ni mfuasi wa mila na desturi za kigeni) pia ile clip ya Mwamposa na ile ya wachawi wakipewa maelekezo ya mwenyekiti wa CCM kupitia kwa Mkuu wa mkoa na Ile ya Mwenyekiti wa Wakina mama akimwakilisha mwenyekiti wa CCM taifa na ile ya Makonda na Mwamposa akiwadhalilisha Viongozi wote wa dini nyingine sasa ni wakati wa kuziweka hadharani kila mahali kwenye mitandao na kuziweka kwenye mabanda umiza na Kwenye magari ya abiria nchi nzima tujue jinsi Taifa linavyokabidhiwa kwa shetani.
Wanaoyatizama haya mambo ya imani kisiasa wasije baadae wakashangaa makosa ya kuichagua Tena CCM watakapoona watoto wao wa kiume wanageuka kuwa mashoga ,wa kike wasagaji ,kuongezeka kwa wauaji , walawiti ,watekaji n.k wasishangae bali wajue kuwa CCM ilishamkataa Mungu na wakiichagua basi Mungu atakaa mbali sana na Taifa hili.
Yanayoikuta Israel ni fundisho tosha kwa wanadamu wote ikiwemo Makada wa CCM wanaojisahau na kumkataa Mungu na kufanya mambo ya kufuru kwa kutegemea mali na sayansi bila kuheshimu asili ya mwanadamu . Mwisho wake ni janga kubwa sana .
Akili ya kuambiwa na Mwamposa changanya na ya kwako.
Huyo ni mfanyabiashara anatafuta kiki ili aendelee kubaki kawe na ccm wameishamhonga eneo kubwa la kujenga duka lake la kuuzia maji, mafuta na keki za upako huko mzee beachKada maarufu wa CCM na Askofu wa kanisa la Arise and Shine, Dr Boniface Mwamposa (Buldozer) leo amewahimiza waumini wake waende wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura na kuwapigia kura wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Nabii huyo amesema hayo leo jioni wakati akiwahubiria mamia ya waumini wake waliofurika kwenye kiwanja alipokuwa akihubiri na kutoa mafundisho ya Yesu. "Hata Yesu alihesabiwa, hivyo nawasihi watu wangu wote mwende mjiandikishe na kuwapigia kura wagombea wa CCM". Amesema.
Askofu Mwamposa alitumia takribani saa nzima kabla ya kuanza mahubiri kuwahimiza, kuwasihi na kuwashawishi wafuasi wake wafanye kama alivyowaagiza na Mungu atawabariki.
MAONI YANGU
Huyu askofu sasa naona mahubiri yanakaribia kumshinda. Hakuwa na haja ya kuwahimiza wafuasi wake kuwapigia kura CCM kwa sababu waumini wake wote sio wanaCCM.
Asitake kutumia fimbo ya upako na miujiza kulazimisha mambo kwa matakwa yake binafsi. Angeishia tu kuwahimiza wakajiandikishe kuliko kwenda mbali zaidi kuwaelekeza aina ya wagombea watakaowapigia kura.
Hii ni sawa na kuwageuza binadamu wenzake kuwa misukule yake. Haifai, haipendezi na Mungu hapendi.
Wala haliwez kugawanyika mana wote ni MISUKULE yake na wanamsikiliza ..Kafanya kosa kubwa sana huyu Nabii, kura ni siri ya mtu na wala sio agizo kutoka kwa mtu mwingine.... Askofu ameharibu kila kitu, asipoangalia ataligawa hata kanisa lake.
DuuNi mshirikina vibaya sn ukikanyaga kwenye hilo kanisa lake la kitapeli huchomoki akili zinakuwa siyo zako tena.
Askofu shoo na kitime mbona wako wazi kabisa kubusu upande wanashabikia ?mbona hampigi kelele?Kada maarufu wa CCM na Askofu wa kanisa la Arise and Shine, Dr Boniface Mwamposa (Buldozer) leo amewahimiza waumini wake waende wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura na kuwapigia kura wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Nabii huyo amesema hayo leo jioni wakati akiwahubiria mamia ya waumini wake waliofurika kwenye kiwanja alipokuwa akihubiri na kutoa mafundisho ya Yesu. "Hata Yesu alihesabiwa, hivyo nawasihi watu wangu wote mwende mjiandikishe na kuwapigia kura wagombea wa CCM". Amesema.
Askofu Mwamposa alitumia takribani saa nzima kabla ya kuanza mahubiri kuwahimiza, kuwasihi na kuwashawishi wafuasi wake wafanye kama alivyowaagiza na Mungu atawabariki.
MAONI YANGU
Huyu askofu sasa naona mahubiri yanakaribia kumshinda. Hakuwa na haja ya kuwahimiza wafuasi wake kuwapigia kura CCM kwa sababu waumini wake wote sio wanaCCM.
Asitake kutumia fimbo ya upako na miujiza kulazimisha mambo kwa matakwa yake binafsi. Angeishia tu kuwahimiza wakajiandikishe kuliko kwenda mbali zaidi kuwaelekeza aina ya wagombea watakaowapigia kura.
Hii ni sawa na kuwageuza binadamu wenzake kuwa misukule yake. Haifai, haipendezi na Mungu hapendi.
umeongea kitaalamu sana.Mtanzania yeyote mwenye pesa ukimuona yuko CCM jua kuwa huyo pesa zake ni za haramu.
CCM ndio njia nzuri ya kuzilinda pesa zako za haramu katika nchi hii
Askofu shoo na KITIME nao wana akili kwa maana ni chadema sio?Mpumbavu Sana uyu
Kwa hiyo unakubali kuwa kanisa la Mwamposa ni tawi la CCM au unataka kusema nini mkuu? Je, Mwamposa anayo haki ya kusimama madhabahuni na kuhubiri siasa za CCM? Mwambie avue majoho avae magwanda ya CCM kama alivyofanya Askofu Gwajima ili tujue moja. Vinginevyo, kuwapigia kampeni CCM madhabahuni ni kumkufuru Mungu. Je, wewe una imani kwamba wafuasi wote wa Mwamposa ni makada wa CCM? Acha kutetea ujinga mkuu.Fungua na wewe kanisa lako utakuwa na waumini kisha wahimize wakahaiikishe wanaipigia chadema ,hakuna haja ya kuona wivu kwa mwamposa
Askofu Shoo na Kitima hawajawahi kusimama madhabahuni na kuwahimiza waumini wao wawapigie kura chama fulani. Kama hiyo clip unayo naomba uiweke hapa kila mtu aisikilize. Vinginevyo, ukae kimya na uache kutetea upumbavu mkuu.Askofu shoo na kitime mbona wako wazi kabisa kubusu upande wanashabikia ?mbona hampigi kelele?
Weka video kuthibitisha hayaKada maarufu wa CCM na Askofu wa kanisa la Arise and Shine, Dr Boniface Mwamposa (Buldozer) leo amewahimiza waumini wake waende wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura na kuwapigia kura wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Nabii huyo amesema hayo leo jioni wakati akiwahubiria mamia ya waumini wake waliofurika kwenye kiwanja alipokuwa akihubiri na kutoa mafundisho ya Yesu. "Hata Yesu alihesabiwa, hivyo nawasihi watu wangu wote mwende mjiandikishe na kuwapigia kura wagombea wa CCM". Amesema.
Askofu Mwamposa alitumia takribani saa nzima kabla ya kuanza mahubiri kuwahimiza, kuwasihi na kuwashawishi wafuasi wake wafanye kama alivyowaagiza na Mungu atawabariki.
MAONI YANGU
Huyu askofu sasa naona mahubiri yanakaribia kumshinda. Hakuwa na haja ya kuwahimiza wafuasi wake kuwapigia kura CCM kwa sababu waumini wake wote sio wanaCCM.
Asitake kutumia fimbo ya upako na miujiza kulazimisha mambo kwa matakwa yake binafsi. Angeishia tu kuwahimiza wakajiandikishe kuliko kwenda mbali zaidi kuwaelekeza aina ya wagombea watakaowapigia kura.
Hii ni sawa na kuwageuza binadamu wenzake kuwa misukule yake. Haifai, haipendezi na Mungu hapendi.
Kada maarufu wa CCM na Askofu wa kanisa la Arise and Shine, Dr Boniface Mwamposa (Buldozer) leo amewahimiza waumini wake waende wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura na kuwapigia kura wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Nabii huyo amesema hayo leo jioni wakati akiwahubiria mamia ya waumini wake waliofurika kwenye kiwanja alipokuwa akihubiri na kutoa mafundisho ya Yesu. "Hata Yesu alihesabiwa, hivyo nawasihi watu wangu wote mwende mjiandikishe na kuwapigia kura wagombea wa CCM". Amesema.
Askofu Mwamposa alitumia takribani saa nzima kabla ya kuanza mahubiri kuwahimiza, kuwasihi na kuwashawishi wafuasi wake wafanye kama alivyowaagiza na Mungu atawabariki.
MAONI YANGU
Huyu askofu sasa naona mahubiri yanakaribia kumshinda. Hakuwa na haja ya kuwahimiza wafuasi wake kuwapigia kura CCM kwa sababu waumini wake wote sio wanaCCM.
Asitake kutumia fimbo ya upako na miujiza kulazimisha mambo kwa matakwa yake binafsi. Angeishia tu kuwahimiza wakajiandikishe kuliko kwenda mbali zaidi kuwaelekeza aina ya wagombea watakaowapigia kura.
Hii ni sawa na kuwageuza binadamu wenzake kuwa misukule yake. Haifai, haipendezi na Mungu hapendi.
Kumbe kuna wana jf huwa wanaenda kwa huyo tapeli 🤔Hii habari sio ya kweli nilikuwepo bukoba kwenye mkutano, kasema kwanza kapewa taarifa na uongozi wa mkoa ahimize watu wakajiandikishe na wachague kiongozi wanayemyaka hajasema chama chochote, mtoa Post huna akili.
Nchi huru hii acha Mwamposa afanye jambo jema kwake na kwa utajiri wakeKada maarufu wa CCM na Askofu wa kanisa la Arise and Shine, Dr Boniface Mwamposa (Buldozer) leo amewahimiza waumini wake waende wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura na kuwapigia kura wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Nabii huyo amesema hayo leo jioni wakati akiwahubiria mamia ya waumini wake waliofurika kwenye kiwanja alipokuwa akihubiri na kutoa mafundisho ya Yesu. "Hata Yesu alihesabiwa, hivyo nawasihi watu wangu wote mwende mjiandikishe na kuwapigia kura wagombea wa CCM". Amesema.
Askofu Mwamposa alitumia takribani saa nzima kabla ya kuanza mahubiri kuwahimiza, kuwasihi na kuwashawishi wafuasi wake wafanye kama alivyowaagiza na Mungu atawabariki.
MAONI YANGU
Huyu askofu sasa naona mahubiri yanakaribia kumshinda. Hakuwa na haja ya kuwahimiza wafuasi wake kuwapigia kura CCM kwa sababu waumini wake wote sio wanaCCM.
Asitake kutumia fimbo ya upako na miujiza kulazimisha mambo kwa matakwa yake binafsi. Angeishia tu kuwahimiza wakajiandikishe kuliko kwenda mbali zaidi kuwaelekeza aina ya wagombea watakaowapigia kura.
Hii ni sawa na kuwageuza binadamu wenzake kuwa misukule yake. Haifai, haipendezi na Mungu hapendi.
Acha ujaha lugha wanazotumia kufikisha ujumbe ni kuipinga serikali na kuipinga serikali maana yake ni nini?Askofu Shoo na Kitima hawajawahi kusimama madhabahuni na kuwahimiza waumini wao wawapigie kura chama fulani. Kama hiyo clip unayo naomba uiweke hapa kila mtu aisikilize. Vinginevyo, ukae kimya na uache kutetea upumbavu mkuu.
Yeye na mzee Mbowe ni nani mhuni?Muhuni tu huyo. Anataka kuwafurahisha Wahuni wenzake.
HakikaMtanzania yeyote mwenye pesa ukimuona yuko CCM jua kuwa huyo pesa zake ni za haramu.
CCM ndio njia nzuri ya kuzilinda pesa zako za haramu katika nchi hii