Mwana FA atakuwa Naibu Waziri mbovu kuwahi kutokea Tanzania. Hatatoa msaada kwa wasanii zaidi ya kuwagawa

Sawa Dr Tale
 
Ngoja tuone
 
Siyo uwazir bhna Ni unaibu ila atawagawa Sana Hadi stivu ake amemaind

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sema wewe mkali mimi naambiwa nna mchukia.
 
Nimemkumbuka katk lile zakata la stivu ake. Na msemaji wa wasanii jins alvyo muaribia jamaa mkate wake .nilimuona nyoko sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Niki wa Pili anafaaa kuwa waziri sema tu si mbunge. Alafu sasa ushangae Joketi ni mtu poa na msaada na ni demu kuliko huyo njiti.
Mwana FA ni matured kuliko Nikki wa pili, wote wana elimu sawasawa ambayo ni masters, mmoja akiipatia UDSM na mwingine Uingereza. FA pamoja na elimu yake anaichukulia ni kitu cha kawaida sana hana show off za kujionesha ni msomi
 
Kumbe hajazagiwa kunguni na sinza pazuri...

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Puuuz kumbe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mimi Milele siwezi amini kuwa mtu anayeongea hip hop ni mwabaji au msanii. Mimi nawaona kama wale ma motivation speakers tuu. Mtu kuwa msanii wa kuimba lazima awe anazijua vizuri solfa notation na apefanya mazoezi na anaweza kutoa melodic sound zenye variations. Sasa mtu anapngea ongea tuu tayari meanamuziki
 
Pale hakuna jipya mwanangu
Jinsi alivyo muaribia stivu ake ugali wake kmmk nilimchukia had kumtumia msg dm kuwa unachomfanyia stivu ake syo sawa muache ale maisha ,mbona wee ubunge wako ulimpokonya umemuibia adad rajabu aliyeongoza kwenye kura za maoni na wee umepata kura chache umepita umekuwa mmbuge lkn Leo unamsibia stivu ake fursa ya yey kuwa tetea wasanii hata kwamuda tu [emoji41]

Nimemchukia mno kwa unafiki ule na ujuaji

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Chege ana roho ya korosho tofauti na mchizi wake Temba. Ni miyeyusho namnyaka uzuri.

FA naye jau sana, zamani hizo nilikua namkubali sana, ila kuna mitkasi ikanifanya nimuone sio. Ni kweli ananata sana na madharau mengi tofauti kabisa na mchizi wake AY.

Niki wa pili naye ana miyeyusho yake lakini ile roho ya kubania wengine hana. Ana ushamba tu ila ana moyo wa theluji.

Naongea from experience, nimekua kwenye industry ya michezo na sanaa zamani sana ikafanya niwajue baadhi ya wasanii.
 
Hoo Dr siwez kukutilia mashaka hata mm nimewahi kuwa mdaau mahiri ,mkubwa Sana wa bongo fleva na ndio nikawajuwa vitabia vyao

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Babu Tale ni mmoja ya watu smart sana kuwahi kutokea kwenye industry ya sanaa na burudani. Mungu hakupi vyote akakosa formal education. Ila FA na Tale ni mbingu na ardhi.
Dah wewe jamaa hata kama ni uchawa umezidi. Tale huyu siku moja alisema tangu mkewe afariki hata kufua chupi hafui? Pia Tale ni mwajiriwa wa Diamond.... projects zake binafsi zilishafeli. Halafu mbaya zaidi ni ile darasa la saba iliyofeli kabisa.. kwa umri wake kuna wale la saba waliokuwa wakikosa nafasi kwa uhaba wa shule na wale waliofeli sasa hiyu ni la saba aliyefeli. Punguza ujuaji ndugu. MwanaFA ni msomi wa hali ya juu mno hata mchange elimu zenu huko WCB hamfikii nusu ya akili zake.
 
Nyie sanaa mnajuwa ni bongo fleva na bongo movie tu

Ova
Yaani Mzee wa Kino hawa vijana wa kisasa wana akili fupi. Hata michezo wanajua ni mpira tu wakati kuna vijana kwenye riadha wana mikataba na Adidas makao makuu kabisa na wanavuta noti ndefu mno hakuna mwanasoka TZ anayenusa. Huko kwenye sanaa kuna vikundi vya ngoma tu kama Wanne Star wamezunguka duniani.
 
Acha kuongea watu usiowajua kwa maneno ya Instagram Babu Tale hajaishia darasa la saba.

Huyo Mwana FA ndio kasoma masters Coventry ila siku akikuonyesha cheti chake cha masters nakupa million 5 on the spot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…