Mwana FA atakuwa Naibu Waziri mbovu kuwahi kutokea Tanzania. Hatatoa msaada kwa wasanii zaidi ya kuwagawa

Huyu bitoz amepewa uwaziri na Mama Samia naona watu wengi wameipokea hii habari kama ni habari njema kwenye michezo sanaa na burudani.
Kwa tunaomjaua mwana fa hapa hakuna kitu kipya atafanya kusaidia wasanii na wanamichezo.
Huyu bishoo ni mbinafsi, ana roho mbaya, anaringa ile kuringa sio kitoto, ana dharau, mtu wa fitna na majungu na mchonganishi.

Hakuna lolote jipya atafanya kwenye hiyo wizara zaidi ya kuongeza matabaka kwa wasanii, kuwaaribia wenzake asowapenda maana huyu jamaa ni ana ile roho ya Kiswahili 100%.

Hapa wasanii na wanamichezo wamepigwa mara mia Dr Abbas japo alikuwa anafanya mambo yake kwa ufahamu mdogo wa sanaa ila alikuwa anafikika anakaribisha kila mtu na hana mipaka wala kutengeneza makundi.

Mwana FA kuwa waziri ni habari mbaya kwenye sanaa yetu. I wish Niki wa Pili au Joketi wangekuwa wabunge wapewe hii wizara awa ni wazungu wa roho alafu wanapenda kuona wenzao wakipiga hatua hawana choyo kama huyu mtoto wa kitanga.
Sawa Dr Tale
 
Ufahamu anao ila leadership ni zaidi ya ufahamu. Kuongoza watu au taasisi ni talent ambayo huyu mtoto wa kitanga hana. Shida yake kubwa ni maringo, unafki, uswahili, fitna, uzandiki, roho mbaya na kila kitu kinachofanana na hicho. Trust me anaenda kuwaumiza wasanii wenzake badala ya kuwasaidia.
Ngoja tuone
 
Siyo uwazir bhna Ni unaibu ila atawagawa Sana Hadi stivu ake amemaind

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mwana FA ni mjivuni flani.

Kuna siku nimeshiriki kazi moja iliyotakiwa mimi na wenzangu kumshirikisha yeye kama Mbunge aisee jamaa ananata kweli kweli.

Picha linaanza unaweza kumpigia simu hata mara kumi asipokee na asipige kuuliza ulikuwa na shida gani.

Akipokea huo uongeaji wake ilibidi tuvumilie tu kwakuwa ilikuwa ni maelekezo ya Ofisi yetu kwamba tuhakikishe tumeshirikiana na Mbunge wa jimbo husika.

Mwana FA kama upo humu jirekebishe tu maisha yanapita haya, that day ulionyesha dharau hadi kwa mzee tuliyekuwa nae kwenye timu kwa umri wake anakuzaa
Sema wewe mkali mimi naambiwa nna mchukia.
 
Ufahamu anao ila leadership ni zaidi ya ufahamu. Kuongoza watu au taasisi ni talent ambayo huyu mtoto wa kitanga hana. Shida yake kubwa ni maringo, unafki, uswahili, fitna, uzandiki, roho mbaya na kila kitu kinachofanana na hicho. Trust me anaenda kuwaumiza wasanii wenzake badala ya kuwasaidia.
Nimemkumbuka katk lile zakata la stivu ake. Na msemaji wa wasanii jins alvyo muaribia jamaa mkate wake .nilimuona nyoko sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Niki wa Pili anafaaa kuwa waziri sema tu si mbunge. Alafu sasa ushangae Joketi ni mtu poa na msaada na ni demu kuliko huyo njiti.
Mwana FA ni matured kuliko Nikki wa pili, wote wana elimu sawasawa ambayo ni masters, mmoja akiipatia UDSM na mwingine Uingereza. FA pamoja na elimu yake anaichukulia ni kitu cha kawaida sana hana show off za kujionesha ni msomi
 
Mwana FA ni mjivuni flani.

Kuna siku nimeshiriki kazi moja iliyotakiwa mimi na wenzangu kumshirikisha yeye kama Mbunge aisee jamaa ananata kweli kweli.

Picha linaanza unaweza kumpigia simu hata mara kumi asipokee na asipige kuuliza ulikuwa na shida gani.

Akipokea huo uongeaji wake ilibidi tuvumilie tu kwakuwa ilikuwa ni maelekezo ya Ofisi yetu kwamba tuhakikishe tumeshirikiana na Mbunge wa jimbo husika.

Mwana FA kama upo humu jirekebishe tu maisha yanapita haya, that day ulionyesha dharau hadi kwa mzee tuliyekuwa nae kwenye timu kwa umri wake anakuzaa
Kumbe hajazagiwa kunguni na sinza pazuri...

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sinza pazuri simjui sana FA ila kwa jinsi walivyo mtreat Crazy GK na ndio aliowaingiza mjini Upangana isaue yakena lady jaydee. Jamaa ana tabia za watu wa pwani u snitch, uchawana umbea pia.

Jinsi alivyojipenyeza kuwa right hand man wa Riziwan wengi waliomuona alivyoingia mjini walinawa mikono. But baada ya kukua na kupata pesa inaweza ikasaidia kkupunguza baadhi ya tabia.

Hata alivyojichomeka kwa salaah wa Home shopping many wondered how he does that. Kama vile baba levo alivyojichomeka kwa simba atleast baba levo simba mwenyewe alikuwa anamvuta mwana sogea karibu.

Zile tabia alizokuwa anaziponda jide ni kweli jamaa anazo na inshort ni tabia ya wanaume wa pwani. Inshort hapo kabla ya kutika alikuwa bonge moja la chawa hadi kwa akina Shkuba kingpin. Yeye mtu asiwe na pesa tuu atakuwa anamsalandia awe mshkaji.

Najua siasa na bunge linafundisha jinsi ya kuishi atakuwa ameacha hizi tabia ila maringo hajaacha na hivi ana pesa na wadhifa basi mtakoma vijana wa sanaa.
Puuuz kumbe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mimi Milele siwezi amini kuwa mtu anayeongea hip hop ni mwabaji au msanii. Mimi nawaona kama wale ma motivation speakers tuu. Mtu kuwa msanii wa kuimba lazima awe anazijua vizuri solfa notation na apefanya mazoezi na anaweza kutoa melodic sound zenye variations. Sasa mtu anapngea ongea tuu tayari meanamuziki
 
Pale hakuna jipya mwanangu
Jinsi alivyo muaribia stivu ake ugali wake kmmk nilimchukia had kumtumia msg dm kuwa unachomfanyia stivu ake syo sawa muache ale maisha ,mbona wee ubunge wako ulimpokonya umemuibia adad rajabu aliyeongoza kwenye kura za maoni na wee umepata kura chache umepita umekuwa mmbuge lkn Leo unamsibia stivu ake fursa ya yey kuwa tetea wasanii hata kwamuda tu [emoji41]

Nimemchukia mno kwa unafiki ule na ujuaji

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Chege ana roho ya korosho tofauti na mchizi wake Temba. Ni miyeyusho namnyaka uzuri.

FA naye jau sana, zamani hizo nilikua namkubali sana, ila kuna mitkasi ikanifanya nimuone sio. Ni kweli ananata sana na madharau mengi tofauti kabisa na mchizi wake AY.

Niki wa pili naye ana miyeyusho yake lakini ile roho ya kubania wengine hana. Ana ushamba tu ila ana moyo wa theluji.

Naongea from experience, nimekua kwenye industry ya michezo na sanaa zamani sana ikafanya niwajue baadhi ya wasanii.
 
Hoo Dr siwez kukutilia mashaka hata mm nimewahi kuwa mdaau mahiri ,mkubwa Sana wa bongo fleva na ndio nikawajuwa vitabia vyao

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nimemkumbuka katk lile zakata la stivu ake. Na msemaji wa wasanii jins alvyo muaribia jamaa mkate wake .nilimuona nyoko sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
34AC1B4F-E308-4793-B7E0-F8F60DB40267.jpeg
 
Babu Tale ni mmoja ya watu smart sana kuwahi kutokea kwenye industry ya sanaa na burudani. Mungu hakupi vyote akakosa formal education. Ila FA na Tale ni mbingu na ardhi.
Dah wewe jamaa hata kama ni uchawa umezidi. Tale huyu siku moja alisema tangu mkewe afariki hata kufua chupi hafui? Pia Tale ni mwajiriwa wa Diamond.... projects zake binafsi zilishafeli. Halafu mbaya zaidi ni ile darasa la saba iliyofeli kabisa.. kwa umri wake kuna wale la saba waliokuwa wakikosa nafasi kwa uhaba wa shule na wale waliofeli sasa hiyu ni la saba aliyefeli. Punguza ujuaji ndugu. MwanaFA ni msomi wa hali ya juu mno hata mchange elimu zenu huko WCB hamfikii nusu ya akili zake.
 
Nyie sanaa mnajuwa ni bongo fleva na bongo movie tu

Ova
Yaani Mzee wa Kino hawa vijana wa kisasa wana akili fupi. Hata michezo wanajua ni mpira tu wakati kuna vijana kwenye riadha wana mikataba na Adidas makao makuu kabisa na wanavuta noti ndefu mno hakuna mwanasoka TZ anayenusa. Huko kwenye sanaa kuna vikundi vya ngoma tu kama Wanne Star wamezunguka duniani.
 
Dah wewe jamaa hata kama ni uchawa umezidi. Tale huyu siku moja alisema tangu mkewe afariki hata kufua chupi hafui? Pia Tale ni mwajiriwa wa Diamond.... projects zake binafsi zilishafeli. Halafu mbaya zaidi ni ile darasa la saba iliyofeli kabisa.. kwa umri wake kuna wale la saba waliokuwa wakikosa nafasi kwa uhaba wa shule na wale waliofeli sasa hiyu ni la saba aliyefeli. Punguza ujuaji ndugu. MwanaFA ni msomi wa hali ya juu mno hata mchange elimu zenu huko WCB hamfikii nusu ya akili zake.
Acha kuongea watu usiowajua kwa maneno ya Instagram Babu Tale hajaishia darasa la saba.

Huyo Mwana FA ndio kasoma masters Coventry ila siku akikuonyesha cheti chake cha masters nakupa million 5 on the spot
 
Back
Top Bottom