Mwana FA atakuwa Naibu Waziri mbovu kuwahi kutokea Tanzania. Hatatoa msaada kwa wasanii zaidi ya kuwagawa

Nikikumbuka alivoshirikiana na Ruge kumharibia JIDE nakosa imani nae kabisa.Kaandaa show kwa makusudi the same day na jide,ila Jide alipambana fresh.

Pia kipindi kile anamgeuka GK ,hadi gk akaonekama chizi tu na ndo aliyemleta mjini
 
Kwanza una chuki
Pili umefeli Kwa kulinganisha KM dr Abbasi na naibu waziri FA kwenye majukumu yao
Tatu unalalamika anaringa - hata ningekua mimi Kwa wivu na husda ulizonazo lazima ningekupiga kando

Dogo ana akili, busara na kipawa cha kutambua nani hamfai kwenye safari yake ya maisha
 
he mumeanza kumpiga majungu hata hajaanza kazi. Watz mumezidi tena.

Kwani aliwahi kupewa post kubwa mukamuona ana roho mbaya hivyo?
 
Acha kuongea watu usiowajua kwa maneno ya Instagram Babu Tale hajaishia darasa la saba.

Huyo Mwana FA ndio kasoma masters Coventry ila siku akikuonyesha cheti chake cha masters nakupa million 5 on the spot
Babu tale form 4 aliishia sema hakumaliza form 4 yenyewe

Ova
 
Wasanii wako chuo cha sanaa bagamoyo huko
Nashanga nchi hii wanaotaka kuonekana,kusikilizwa ni bongo fleva bongo movie tu

Ova
 
Kazi za kupeana hizi usitegemee ufanisi. Rais wa Tanzania kwenye Katiba lazima adhibitiwe mamlaka ya kuteua. Katiba ya leo inatupatia Rais ambaye ni zaidi ya Mfalme hata wa Uingeleza.
 
Kwani wasanii wenyewe wanasaidiwaje na wizara zaidi ya kuwa wapiga zumari tu wakati wa kampeni?
 
ni Naibu Waziri , halafu mbona unajifanya much know sana kuliko hata Rais na Washauri wake?
Ukiwa Rais ndio unakuwa unajua kila kitu, au washauri wako ndio wanajua kila kitu!? Huu ujinga unaoendelea, ni maamuzi ya Rais au ushauri wa washauri wake!?
 
FA mtu wa majungu sana chanzo cha East Coast kuvujika ni huyu dogo, ni mjivuni sana kuna kipindi Sugu alimu blast live , enzi zile JK ametoa msaada wa studio kwa wasanii Ruge aka hijack deal haka kajamaa kalitumika kuwasaliti wenzake, hata show ya Lady JD kalitumika ila Mungu ni fundi show yake ilibuma
 
We nawe lofa kweli..
 
Acha kuongea watu usiowajua kwa maneno ya Instagram Babu Tale hajaishia darasa la saba.

Huyo Mwana FA ndio kasoma masters Coventry ila siku akikuonyesha cheti chake cha masters nakupa million 5 on the spot
Kabla hatujakuekea cheti chake ebu tuonyeshe bank statement yako yenye million 5, alafu na mods wawe hapa usipotuma 5m ulimwe ban ya maisha!
 
WCB ni muunganiko wa failures. Hakuna aliyefanya mtihani wa form four ukimtoa Zuchu. Kwakifupi Zuchu ndiye msomi zaidi pale WCB
 
Ila Mungu fundi zaidi yeye sasahivi ni Naibu Waziri alafu hao wengine wako kama walivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…