Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

Hana degree halafu ana masters, masters ni nini!?..hao waliompa masters hawajui utaratibu wa kutoa masters!?
 
Kuna makosa ya kiuandishi hapo yanapaswa kuhaririwa hiyo ilikuwa ni advance diploma!
Hata hivyo kama hoja na hitaji ni degree basi hata Masters ni degree!
 
Hata hiyo historia ya aina yake si ya aina yake hivyo.

Nyerere alitoka Makerere na Diploma, akaenda Edinburgh akatoka na Masters, hivyo hivyo.

Kwa hivyo ni vitu vilivyofanyika miaka mingi tu, hata kabla ya uhuru.
Ila babu ali-supp Edinburg,nasikia alipenda Sana kucheza tennis
 
Wabongo wanathamini makaratasi

Ova
 
FA ni smart Sana. Na suala la kuwa na Masters kabla ya undergraduate degree ni kawaida Sana maana ata nyerere nae alikua Ivo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…