Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingawaje sina hakika kama chuo kilichompa masters ni chuo halisi au ni kati ya vyuo vyenye kugawa masters na Ph.D. kama njugu, napena kusema kuwa inawezekana kupata master degree bila kuwa na bachelors degree. Napenda ikumbukwe kuwa advanced diploma zilizokuwa zinatolewa na vyuo kama Mzumbe, IFM, Ustawi na vinginevyo, diploma zake zilikuwa zinatambulika kulinana na bachelors degree katika vyuo vya USA, Australia, Uingereza, n.k. Wanafunzi wangu wengi waliyopata advanced diploma walienda USA, UK., na kwingneko na kupata masters na Ph.D. hata kabla yangu. Kwa hiyo mheshimiwa siyo wa kwanza kupata masters bila bachelors degree.
Penyoki.Kasoma IFM? Kweli? Akapita bila kudisco? He is better than Havard! Mama kampataje? Tena ni Mzigua? Uuuuuwiiiii!!!ZFZMWCCM
Wachana na blablabla, kama kasoma IFM au IDM au IAA ni bora kuliko Havard. It is more than enough."Masters ni digrii"[emoji116][emoji116]
Inawezekana kupata digrii ya Masters bila digrii ya bachelor kwa;
1. Kuingia moja kwa moja katika programu ya Masters ukiwa na uzoefu wa kazi na sifa za kitaaluma.
2. Vyuo vingine huchanganya digrii za bachelor na masters katika programu moja.
DuhKwani nani alikuambia kuna uchaguzi?
Ndo tumejua sasa huyu penyoki kitamboPenyoki.
Kawaida huwa hakuna diploma ya miaka mitatu; diploma huwa ni miaka miwili tu. Hicho kilichoandikwa hapo juu kama diploma si diploma plane bali ni Advanced Diploma; na hiyo ndiyo ilipelekea asome Masters degree kwa sababu kawaida Advanced Diploma huwa ni equivaent na First Degree.Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri
Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?
hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level Coventry University Masters of Science in Finance 2009 2010 Masters Degree Institute of Finance Management (IFM). Diploma in Insurance 2004 2007 Diploma Institute of Finance Management (IFM). Certificate in Infromation Tehnoloy 2003 2004 Certificate
Sjui atakua anasomaje ripori na kuzielewaMwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri
Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?
hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level Coventry University Masters of Science in Finance 2009 2010 Masters Degree Institute of Finance Management (IFM). Diploma in Insurance 2004 2007 Diploma Institute of Finance Management (IFM). Certificate in Infromation Tehnoloy 2003 2004 Certificate
Waziri ni mtumishi kama walivyo watumishi wengine wa serikali ikiwa tu mtendaji wa mtaa ni lazima awe na angalao kuanzia diploma je waziri inatakiwa awe na elimu ya kiwango gani? maana waziri ni mshauri wa Rais moja kwa mojaHivi kiwango cha elimu ili mtu awe waziri ni kipi?
Madini kama haya ndio tunayataka Mkuu. Nimekuelewa kwa kiasi fulaniHuyu pamoja na Ay na wasanii kadhaa nadhani ikiwemo ali kiba sijui walisoma chuo fulani cha IT kikijulikana kama Learn IT kiko pale lumumba kabla ya crdb ghorofani 3nzi hizo kikitoa ICDL za mambo ya IT kutoka UK nadhani walsoma kitu inatwa Internationl Diploma na kuna baadhi ya watu waliowahi waliisajili TCU ikawa inasound kama degree.
Kilikuwa na branch Oysterbay hotel area pia watoto wengi wa kipemba na kiarabu wamesoma chuo hichi.
Hichi chuo walisoma wasanii wengi sana wenhine hawakumaliza. Wakati ithibati bado inayumba ya kuthaminisha mitaala.
Naona kayumba katika ubora wetu💪🇹🇿👍Wachana na blablabla, kama kasoma IFM au IDM au IAA ni bora kuliko Havard. It is more than enough.
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
MwanaFA=MediocreHuyu pamoja na Ay na wasanii kadhaa nadhani ikiwemo ali kiba sijui walisoma chuo fulani cha IT kikijulikana kama Learn IT kiko pale lumumba kabla ya crdb ghorofani 3nzi hizo kikitoa ICDL za mambo ya IT kutoka UK nadhani walsoma kitu inatwa Internationl Diploma na kuna baadhi ya watu waliowahi waliisajili TCU ikawa inasound kama degree.
Kilikuwa na branch Oysterbay hotel area pia watoto wengi wa kipemba na kiarabu wamesoma chuo hichi.
Hichi chuo walisoma wasanii wengi sana wenhine hawakumaliza. Wakati ithibati bado inayumba ya kuthaminisha mitaala.
Lakini si unaona alivyokomaa kwenye uongozi [emoji1]Jenister mhagama ana diploma ya ualimu tu
Huwezi kua Waziri bila ya kua Mbunge! Hayo mengine yote mbwembwe tu!!Waziri ni mtumishi kama walivyo watumishi wengine wa serikali ikiwa tu mtendaji wa mtaa ni lazima awe na angalao kuanzia diploma je waziri inatakiwa awe na elimu ya kiwango gani? maana waziri ni mshauri wa Rais moja kwa moja