TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

Kifo ndio njia pekee ya kurudi tulipotoka.
Tunakuja duniani kupitia hospital na tunaondoka duniani kutokea hospital hivyo tuziheshimu hospital.
Kaburi ni nyumba yetu ya kudumu.
 
Inawezekana alikosea tu iyo tarehe na sio kwamba ilichapiswa toka tarehe 3.

Ole Mushi hakua tishio kiasi iko kwamba Chama cha Mapinduzi waratibu mauwaji kwake.

kama alifanyiwa ivo basi ni wahuni wachache tu wasiokubali kukosolewa na kuambiwa ukweli.
 
Mkienda mahakamani hiyo tarehe itazingatiwa au haitazingatiwa? mpaka barua inatoka imepitiwa na watu wangapi? maanake walishajua kwa sumu waliompa hatomboi zaidi ya hiyo tarehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…