joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,935
Akili yako haipo sawaMbona nasikia amefariki, nmeona huko fb
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili yako haipo sawaMbona nasikia amefariki, nmeona huko fb
For sureMnao semaga hivyo kuna siri mnazijua
Hata kule unapita by way of decompositionKifo ndio njia pekee ya kurudi tulipotoka.
Tunakuja duniani kupitia hospital na tunaondoka duniani kutokea hospital hivyo tuziheshimu hospital.
Kaburi ni nyumba yetu ya kudumu.
Let his Soul rest in eternal peace.MwanaCCM na MwanaJF Thadei Ole Mushi amefariki dunia.
Ole Mushi alikuwa anaugua kwa muda mrefu.
Thadei amefariki duniani asubuhi hii katika hospitali ya moyo JKCI, Muhimbili.
Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema peponi na atupe nguvu na faraja.
Zaidi soma Ole Mushi ni mgonjwa sana.
View attachment 2893963View attachment 2893962
Picha: Ole Mushi enzi za uhai wake
Walijua kwa sumu waliyompa hatomboi hiyo tarehe 4
Ukiona CCM wanalia sana msibani, jitahidini kukamata muuajiWalimtakia nini?
Mkienda mahakamani hiyo tarehe itazingatiwa au haitazingatiwa? mpaka barua inatoka imepitiwa na watu wangapi? maanake walishajua kwa sumu waliompa hatomboi zaidi ya hiyo tareheInawezekana alikosea tu iyo tarehe na sio kwamba ilichapiswa toka tarehe 3.
Ole Mushi hakua tishio kiasi iko kwamba Chama cha Mapinduzi waratibu mauwaji kwake.
kama alifanyiwa ivo basi ni wahuni wachache tu wasiokubali kukosolewa na kuambiwa ukweli.
CCM walishajua hatoboi zaidi ya hiyo tareheUkiona CCM wanalia sana msibani, jitahidini kukamata muuaji
Jamaa aliingia kwenye mfumo vizuri snWalimtakia nini?
Mara hawaweziInawezekana alikosea tu iyo tarehe na sio kwamba ilichapiswa toka tarehe 3.
Ole Mushi hakua tishio kiasi iko kwamba Chama cha Mapinduzi waratibu mauwaji kwake.
kama alifanyiwa ivo basi ni wahuni wachache tu wasiokubali kukosolewa na kuambiwa ukweli.