peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mawakili wa familia wapitie hiyo barua tarehe iliyotolewa!Kama ilitoka jana tarehe 4 basi itakuwa ni typo ila kama walitoa tar 3 inabidi Massawe azidi kubanwa.
Kuna kesi ya kujibu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawakili wa familia wapitie hiyo barua tarehe iliyotolewa!Kama ilitoka jana tarehe 4 basi itakuwa ni typo ila kama walitoa tar 3 inabidi Massawe azidi kubanwa.
Sasa kwa nini mumemuua naye hakuwa tishio kwenu? Na mnathibisha kuwa wale wanaokuwa tishio mnawaua.Inawezekana alikosea tu iyo tarehe na sio kwamba ilichapiswa toka tarehe 3.
Ole Mushi hakua tishio kiasi iko kwamba Chama cha Mapinduzi waratibu mauwaji kwake.
kama alifanyiwa ivo basi ni wahuni wachache tu wasiokubali kukosolewa na kuambiwa ukweli.
Mawakili wa familia wapitie hiyo barua tarehe iliyotolewa!
Kuna kesi ya kujibu mkuu
Kwanini mkuuHivi Gilbert Massawe atafika msibani kweli?
Gilbert Masawe anayo majibu ya maswali yote hayaInna lilai waina ilai rajiun.
Kuna mdau alihoji Ole Mushi Thadei ugonjwa wa moyo ulianza ukubwani? Mbona alipotea ghafla ikazuka tetesi kalishwa sumu,akiubuka tena akasema ni mzima ,ikaja tena anaumwa moyo...after that the rest is history.
Ndiye alichukua kandarasi ya kumtoa rohoKwanini mkuu
Inawezekana alikosea tu iyo tarehe na sio kwamba ilichapiswa toka tarehe 3.
Ole Mushi hakua tishio kiasi iko kwamba Chama cha Mapinduzi waratibu mauwaji kwake.
kama alifanyiwa ivo basi ni wahuni wachache tu wasiokubali kukosolewa na kuambiwa ukweli.
🤭Ndiye alichukua kandarasi ya kumtoa roho
Wewe tu ndio ulichelewa kujua.Walimtakia nini?
Gilbert Masawe anayo majibu ya maswali yote haya
Hivi Gilbert Massawe atafika msibani kweli?
PDF la ikulu linakosewa itakua iyo barua ambayo ni mtu mmoja tu alieiyandika na kupost mitandaoni.Mkienda mahakamani hiyo tarehe itazingatiwa au haitazingatiwa? mpaka barua inatoka imepitiwa na watu wangapi? maanake walishajua kwa sumu waliompa hatomboi zaidi ya hiyo tarehe
Uhuni wa mtu mmoja wa ccm huwezi kutoa hukumu kwa Chama kizima.Mara hawawezi
Mara wanaweza.
Tushike lipi
Massawe ndio nani au ni huyu Gilbert A Massawe ?Kama ilitoka jana tarehe 4 basi itakuwa ni typo ila kama walitoa tar 3 inabidi Massawe azidi kubanwa.