Mwana Siasa Yupi hapa Nchini Mwenye Uwezo wa Kukusanya Na kubeba watu Wengi Kiasi hiki Cha Rais Samia?

CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni ya watanzania.ndio bima ya watanzania kwa kila tatizo kero.ndio maana inaaminika sana kwa watanzania
Pia inaiba kura.
Sasa hayo matumaini ni yapi.wakati hamuwezi kuingia madarakani bila wizi
 
Kwan we unaishi nchi gani, watu wanazuiliwa ata kufanya vikao vya ndani vya chama kwa kigezo cha usalama.
Acha uongo wako hapa.kwani huwaoni Namna Act Wazalendo wanavyozunguka Nchi nzima wakifanya mikutano ya hadhara? CHADEMA wanashindwa kufanya maana ndani ya chama hakuna umoja wala maelewano wala pesa za kufanyia mikutano.
 
Pia inaiba kura.
Sasa hayo matumaini ni yapi.wakati hamuwezi kuingia madarakani bila wizi
CCM hupita na kushinda Uchaguzi kihalali na kwa haki kabisa. Ndio maana wananchi huyapokea matokeo kwa mikono miwili kabisa
 
Acha uongo wako hapa.kwani huwaoni Namna Act Wazalendo wanavyozunguka Nchi nzima wakifanya mikutano ya hadhara? CHADEMA wanashindwa kufanya maana ndani ya chama hakuna umoja wala maelewano wala pesa za kufanyia mikutano.
Sasa hao ACT unawazungumzia apa mkutano wao wa hadhara wa tarehe 21 kyela mjini ulizuiliwa kwa kigezo cha usalama
 
Attachments

  • 20240928_235633.jpg
    46.7 KB · Views: 2

Sasa huyo si Rais?

Unataka kumlinganisha na nani?

Wengine hapo wameenda kumuona zuchu
 
Weka picha za Edward Lowasa za Campaign 2015,hakuna mtu atajeza watu kama Edward lowasa nchi hii
 
Maroli yamehusika kuwakusanya mkoa wote na mikoa jirani.
Makusanyiko siyo ishara ya wananchi kukipenda Chama tawala vinginevyo Maandalizi ya Kuiba kura na kuhujumu uchaguzi wa November na Mwakani huenda yasingefanyika!
 
Shahawa zilizokuzaa heri zingemwagwa nje tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…